Herufi ya mwanzo ya jina lako inabeba tabia yako

Waswahili mnamatatizo sana sijuwi kuna mtu kakushiki bakora kusoma na kukubali
Au nimekugusa ndio maana unalalama
Lowasa aje asome mwenyewe aone kama sijamgusa

Kama ni kweli na unajiamin na ulicho post eb elezea character herufi E na maisha ya lowasa na usiache ata moja
 
waitwa nani...
Victor, vicent, violet, verynice, veronica
wilson,winston, william wilibad, winfrida, wakuvanga, wankya, wolter, wolfgan, Wirgan

Yusto, Yasin, Yahya, Yaman, Yusuf, Yezebel, Yeremia, Yesu,
Xalvado, Xiomania, Xavier, Xannon, xhosa, Xander
Zamaradi, Zohel, Zahib , Zacharia, Zakayo, Zebedeyo, Zerubabeli,
 
HERUFI M
Mwenye jina linaloanzia na herufi M ni mtu mwenye kujiamini sana, mchapakazi na hupata mafanikio. ni mtu mropokaji,mwenye haraka na mwepesi kukasirika.

Hapa hata mai waifu mwallu atanisaidia kusema si sahihi kabisaaa....
 
Last edited by a moderator:
Si kweli,nimesoma maelezo ya herufi nyingi hapo si kweli labda umetafiti ktk ukoo wenu but IT IS WRONG,VERY WRONG hata erufi ya jina langu umechemka vibaya sijui umetoa wapi idea hizi

Kachemka wapi ? Mm kwangu ni A. hajakosea hata nukta na kuna mashost zangu nawajua kwa majina na tabia zao ndio hivyohivyo .
 
Back
Top Bottom