Herufi ya mwanzo ya jina lako inabeba tabia yako

HERUFI S
Mwenye jina linaloanzia na herufi S ni mtu mwenye mvuto mkali wa kuleta utajiri. Ni watu wenye maamuzi ya ghafla na hupenda mageuzi makubwa.
.....Kibo10 kuna fortune teller aliwahi kuniambia hivi lkn mpaka leo nahangaika na mabox wapi.....sijakuwa tajiri bado...sijui nimekosea wapi!
 
Si kweli,nimesoma maelezo ya herufi nyingi hapo si kweli labda umetafiti ktk ukoo wenu but IT IS WRONG,VERY WRONG hata erufi ya jina langu umechemka vibaya sijui umetoa wapi idea hizi
Huyu ni ndugu wa yule aliyekuwa akiitwa shekhe yahya miaka ileeee.
 
Hamna lolote. mwandishi ametumia usanii wa kuremba kila herufi.
Ni mtanashati. mchapakazi. mvumilivu. msafi. angetumia negative adjectives kama ni mngese. ni mvivu. sio hodari. ni mal
a.ya. ni mwoga. hana nguvu za kiume. sio rijali n.k asingepata washabiki.
kila binadamu anapenda kusifiwa ndio maana hata binti mwenye sura mbaya ukimsifia tu unakula mzigo. au kijana wa kiume ukitaka kumpumulia msifie sana baadae utaona akilainika na kukupa mzigo.
 
...haka kachawi kaongo kinoma,nimecheki herufi kibao na haziendani na yanayosemwa...
 
A na S, umetisha sana, ulikopiga chabo inaonekana ana akili sana na anaextra senses
 
Hamna lolote. mwandishi ametumia usanii wa kuremba kila herufi.
Ni mtanashati. mchapakazi. mvumilivu. msafi. angetumia negative adjectives kama ni mngese. ni mvivu. sio hodari. ni mal
a.ya. ni mwoga. hana nguvu za kiume. sio rijali n.k asingepata washabiki.
kila binadamu anapenda kusifiwa ndio maana hata binti mwenye sura mbaya ukimsifia tu unakula mzigo. au kijana wa kiume ukitaka kumpumulia msifie sana baadae utaona akilainika na kukupa mzigo.

Ume nichekesha sana daah.
 
A- mcheshi
B- mtembezi
C- mkosaji
D- msema kweli
E- mgomvi
F- mgombanishi
G- mcha mungu
H- mchapa kazi
I- mgumu kuelewa
J- anapenda ngono
K- m'bishi
L- anapenda kujua mambo
M- hodari
N- kicheche
O- mtulivu
P- mjanja
Q- mvivu
R- mzuri na mtundu chumbani
S- msaliti
T- anajua kunyenyekea
U- msafi
V- anapenda starehe
W- ana wivu
X- anapenda mapenzi
Z- mtanashati
haya niambie wewe uko herufi gani!!!

Ukibisha we jeuriii...au andamana
 
Back
Top Bottom