Hemed amponda jaji Ian Tusker Project Fame

Huyu kijana alinishangaza sana, Ndiyo maana haelewani na wakina Mlela, Nilishangaa sana jana, Mpaka watoto walikuwa wanaponda, Majaji walikuwa wanamsapoti fulani na ile style yake ya kuingia na miavuli, lakini niliona ghafla wawili walikunja miavuli yao na kuitupa pembeni wakimwona ni garbage tu.

hata mimi kiukweli sikumfurahia hata kidogo,unajua yule kijana amezidisha maringo na dharau....sijui angekua mwanamke angekuaje?kwel anatakiwa abadilike maana naona umaarufu unampeleka pabaya!!

mwanamke tu yule ndio maana yuko busy na kaloraiti

Kwanza, They did a mistake on the first place kumrudisha hemed..hafai!
Pili, dogo anaringia sura n "swagg" anasahau uzuri unanunuliwa these days..kila mtu mzuri. Watu wanataka talent!
Tatu, hemed ni mhuni na hajakua.. Ameidhalilisha nchi na ameprove ya kuwa he's not worth it kwa kumkejeli vibaya Ian. Somebody has got 2 tell him to GROW UP!

dogo hakuna kitu siku nyingine waandaaji muangalie nidhamu za washiriki pia sio kututia aibu

tatizo ni tz media....
mtu hana genuine talent but anakuzwaa mno.....
Hapo kwenye red kuna ukweli kuhusu hemed lakin The boss..si kwa wasanii wote..kuna madogo wana talent kweli kwenye fani tofauti
lakini media haiwatendei haki..Heb waskilize ma mc kama Roma,God zillah,Jos mtambo....na wengine wengi .....

Nachukia mawazo ya aina hii...kwani bibi yake ndie anaemfunza usharobaro na dharau?!

Kesho usishangae mwingine tabia yake ikakosolewa kwa kulelewa na mama tu....(au mzazi mmoja)

huyu kijana ni mpuuzi sana ... anaona yuko juu sana wakati hawezi kitu

Yaani jana hadi nilishika mdomo Hemed alivyomponda Ian, nikaogopa na kujiuliza hivi huyu anapata wapi ujasiri huu? Kweli ameiaibisha Tz, Ian is the best among other judges kwa mtazamo wangu coz anakupa live bila chenga ukasirike, umpende umchukie is non of his business

Frow the moment nilisikia hemed anacontest sikutegemea anything good out of him.sijawahi kujua kama ana talent coz sijawahi kupenda kumsikiliza wala kumtizama

Yaani jana hadi nilishika mdomo Hemed alivyomponda Ian, nikaogopa na kujiuliza hivi huyu anapata wapi ujasiri huu? Kweli ameiaibisha Tz, Ian is the best among other judges kwa mtazamo wangu coz anakupa live bila chenga ukasirike, umpende umchukie is non of his business

halafu eti amefunga

Bucad; cha ajabu nini hemed kumchana ian? Vile ni vijimambo tu vya kuchangamsha shindano ili watu kama sisi tupate cha kujadili kama hivi tunavyodalili na sio suala la utovu wa nidhamu!

yaan amenishangaza sana he z so stupid this man anajiona na sijui wht makes him kuwa ivyo i thnk kukuosa shule ndo tatizo awez kuiabisha tz namna hiyo anadhan madude yake anayovaa ,miamvul, spray ndo ujanja kumbe people wanamcheka..,he cant even find the network daah kabore

Hemed,
kamuita jaji kuwa ni mbeya tena mshamba, teana akaajiriwe mashambani na kuwa mkulima.
Akaendelea kuponda kuwa Ian hana single wala movie.
Huyu dogo must be mad.
Hakufanya tafiti,Ian ana movie tena the best of the best zaidi ya maigizo anayocheza yeye

Last edited by a moderator:
Yaani jana hadi nilishika mdomo Hemed alivyomponda Ian, nikaogopa na kujiuliza hivi huyu anapata wapi ujasiri huu? Kweli ameiaibisha Tz, Ian is the best among other judges kwa mtazamo wangu coz anakupa live bila chenga ukasirike, umpende umchukie is non of his business
Kamuaibisha mamake,babake, wajomba zake na dada zake sio watz wote

you cant take the village out of him,kinondoni is still inside him..lol
samahani mkuu kinondoni hatuna watu wenye akili wazi kama masaburi km hemed,huyu atakua anatoka ilala ndio wana hizo sample za wabana pua na mipasho,tutake radhi mkuu

Back
Top Bottom