Hemed amponda jaji Ian Tusker Project Fame

Mshindi ni Alpha, Msechu na David......big up Msechu

Hata sijaelewa washindi walitakiwa watatu? Ama? How pse nipeni shule hapa

Dogo hana ki2 alijua uwezo wake umefika mwisho, kawaaibisha wasanii na watz wote kiujumla. HAFAI.

mitoto iliyolelewa na bibi bana......haikui hata siku moja...

Extremely embarrassing. The goon has shown complete lack of courtesy. Mijitu mengine bana inatia aibu kweli. Sijui he had issues with Ian?

muwe mnahukumu kwa haki ian ndiye alianza kumtolea lugha mbaya baada ya majaji wenzake kumsifu hemed na kumfananisha na michael jackson ,

hawajazungumzia lolote juu ya nani atachukua pesa.wamewataja hao washind 3 tu

hemedi amefikilia kwa kutumia masaburi

muwe mnahukumu kwa haki ian ndiye alianza kumtolea lugha mbaya baada ya majaji wenzake kumsifu hemed na kumfananisha na michael jackson ,

nyinyi ndo mnaharibu watoto....
mnaleta mipasho mentality kwenye mambo ambayo
ustaarabu ndio unatakiwa utawale....

ian analipwa hela kwa kuwa vile mkali na hakopeshi...

sasa yeye hemedi ni nani atampa deal za matangazo ya kampuni kwa mfano
kwa ku behave namna ile??????

hata mimi sikuwa nafuatilia sana.......lakini nimeona wameshinda watatu......ngoja wenye kufahamu watujuze zaidi

Mbona ulikuwa unafuatilia kwa makini sana,mara hii tena unaruka.
Au ze lugha ya malkia inasumbua? Habari yake binafsi bana!

hawajazungumzia lolote juu ya nani atachukua pesa.wamewataja hao washind 3 tu

hemedi amefikilia kwa kutumia masaburi

Yeah ni kweli Hemed amefikiria kwa kutumia... MASABURI tena MASABURI YAKE NI MAKUBWA SAAAANA!!!

you cant take the village out of him,kinondoni is still inside him..lol

Pole sana kiongozi, naona imekugusa mno. Ukweli inati aibu na kimyaa eti hao ndio wawakilishi wa nchi. Image gani pale kaonyesha, ni taafsiri gani juu ya watanzania hasa vijana kaipeleka kwa wenzetu. Bila aibu kabisa bila kujali yupo mbele ya media kaamua kuropoka utumbo wake. Thank God kijana wetu Msechu katubeba.

Mbona ulikuwa unafuatilia kwa makini sana,mara hii tena unaruka.
Au ze lugha ya malkia inasumbua? Habari yake binafsi bana!

huyu malkia nikimletea lugha ya Yaeda anatoka mweupe......asituzingue hapa.......mzima lakini wewe?.....

Aliniboa sana mwanaume kujipamba pamba kama shoga vile na mitusi kibao, tena kaidhalilisha bongo ile mbaya.

Back
Top Bottom