Hemed amponda jaji Ian Tusker Project Fame

Hebu msikilizeni hapo chini upuuzi aliouongea wakati akihojiwa na hiki kipindi.

MTU KATI HEMED-iPhone.m4v

hivi huyu dogo mbona anajisifu sana? Just maelezo ya mwanza/swali la kwanza limenifanya nikate, nisiendelee kusikiliza matope yake.

... Someone should make Hemed ...read this thread ...It will probably udjust his lost mind!!

yaani hata mimi nilimshangaa sana Hemed sikutegemea tabia za Kariakoo na Uwanja wa Fisi angepeleka kwenye hadhira ya East Africa. Ian alikuwa kazini na kama jaji alipaswa kutoa maoni yake juu ya Perfomance ya Hemed na ndicho alichokifanya kwamba Hemed can not be Michael Jackson. may be because Mj is dead he can. Mimi niliona ni maoni sahihi tu kwake. Hemed alikuwa anakula Pipi KIJITI, Perfume za kupuliza hadharani na Mwavuli. Kuimba aliimba ovyo tuu. Baada ya maoni ya Ian, alipoulizwa what do have to say about Judge Ian, he said Judge Ian you can never be hot like me, because you dont have any Single and Movie. Kwa kiswahili 'wewe ni mmbeya, kule kwetu kuna kazi za shamba huko ndiko kunakufaa wewe. Ian alimjibu kwa Kiingereza kuhusu trouser lakini sikumpata alimaliziaje. Mie naona Hemedi amekosa adabu kwa taifa, huwezi hata siku moja ukamjibu mwalimu wako hivyo anapokukosoa. Msechu huwa hana majibu kama hayo hata akikoselewa. maneno yake ni short and clear. Hemed ana kisomo au shule ya Ian? anyway huyu mkaka nilishawahi kumsikia akimwambia msanii mwenzie yeye ni wa kimataifa na mwenzie ni kinondoni na mazense! Please wafundisheni vijana wetu kuwa wavumilivu na kuonyesha heshima kwa watu. Nasikia mwingine alifukuzwa Big Brother kwa kumnasa mwenzie kofi. Hemed bureee kabisa namuona Ziro. Pole sana Kaka Ian ndio vijana wetu wa Dot.com.

... Someone should make Hemed ...read this thread ...It will probably udjust his lost mind!!

message sent and delivered, al do it mkuu!...........kwa taarifa tu hemed amejutia maneno yake na ameomba msamaha kwa yeyote aliyekwazika na alichokifanya jana usiku!ni matumaini yangu waelewa watamsamehe!nawakilisha

Judge Ian Nakuhusudu sana jinsi unavyotoa maoni yako kuhusu Performance ya mshriki. Natamani ungekuwa mwalimu wangu wa Fasihi, ningefika mbali. Tusker Project Fame bila wewe hainogi. Asante kaza Buti niko nyuma yako.

Hemed is undeniably coxcomb and excessively conceit but Ian's behaviour was unacceptably noisome. He went too far by repreciating the lad and that's what he deserved in return.

Amefunga?!!!
Mbona anajitesa, au ana-save vijisenti alivyogawana na wahindi )wahindi wanachukua 90% yeye 10% katika movies na viji-single vyake).
Labda kama anabana matumizi.

Hivi ana girlfriend (future wife)? Au ana mtu wa kumlia pesa tu!
Najaribu kujiuliza anaishi naye vipi!
hapo kwenye red mkuu, bwa mdogo anatamba kwenye media kwamba yeye ni hot ana mademu 8, judge Ian hawezi kumfikia. Hana adabu hata kidogo, mi nawalaumu waandaaji kwa kumchagua kwenda kuwakilisha Tz huko Kenya, tuna vijana wana talents zao za kutosha waliokuwa wanastahili sio yule mabasuri, that guy is useless kabisa na hana hata kipaji

Hemed,
kamuita jaji kuwa ni mbeya tena mshamba, teana akaajiriwe mashambani na kuwa mkulima.
Akaendelea kuponda kuwa Ian hana single wala movie.
Huyu dogo must be mad.

Kwani mkuu unamuona yule kijana yupo sawa akilini...?

Kuna wimbo wake mmoja wa matusi (kama haujawahi kuusikia waulize vijana ambao unaamini watakuwa nao - unaweza ukalia!)

ule mwimbo anamsifia demu wake?
demu mtamu..kaded...matus mia mia..ahhh..ilala aidanganyi..usupastaa biLA BANG AIWEZEKAN LABDA

message sent and delivered, al do it mkuu!...........kwa taarifa tu hemed amejutia maneno yake na ameomba msamaha kwa yeyote aliyekwazika na alichokifanya jana usiku!ni matumaini yangu waelewa watamsamehe!nawakilisha

kwani alidhani anaongea nini mpaka ajutie, yote mambo ya kuishi uswekeni na kukosa exposure na elimu ya kutosha. ana muvi gani ya maana hemed mpaka amrarue Ian kwa maneno? mimi nikiona muvi ame act wala sinunui maana ni usharobaro na ubitozi uliopitiliza na kuuza sura kama mwanamke. kwenye stage kaingia na mwavuli, na perfume, typical ladish.... ulimbukeni + ushamba = ???

Binafsi naona huyu dogo alienda kule kuuza sura.. Alikuwa focused zaidi kwenye madoido yasiyokuwa ya msingi; Ian alikuwa anamwambia ukweli sema akawa hataki kuusikia. Angemwangalia Alfa alipondwa siku za nyuma kuwa ana-scream, but alichukulia positively na matokeo yake mliyaona; = top three...!!

Kwa taarifa yake, Ian ni muigizaji wa filamu na ameigiza mpaka kwenye baadhi ya series za South Africa. Sasa yeye asifikirie hayo maigizo yake kimataifa yanaitwa movie...!! Sasa anapomwambia Ian hana single wala filamu hata moja ananishangaza kidogo...!! Awe anafanya research before hajaropoka hadharani kama anafikiria kuja kuwa celebrity..

Kuna mambo wa bongo inabidi tuyaangalie kwa jicho pevu na kuambiana wenyewe kwa wenyewe kuliko kutiana aibu kwenye audience za wenzetu. tumezoea kufagiliana kipuuzi na wapuuzi tunawafagilia wana lewa sifa na kudhani popote watakapo simama watakubalika kama wanavyo kubalika na wasiojua wenzao huku bongo. watu kama HEMED w2asiojua kitu lakini tunawafagilia hapa bongo wapo wengi. angejijua yeye ndio mbea wa kwanza. foolish kabisa.

Back
Top Bottom