Help me please

oldd vampire

JF-Expert Member
Jun 3, 2011
253
52
Hi jf doctor,mimi ni mwanamke mwenye miaka 23,nina sumbuliwa na harufu ukeeni,natkwa na harufu kali sana kiasi kwamba hata watu nilio kaa nao wanaisikia,na nina toa uchafu wa rangi ya usaa hivi,nimetumia antibiotics soaps ila wapi,pia nina mimba ya mwez m1,na tumbo linaniuma sana,je nifanyaje ilinipone?na je hili tatizo laweza haribu mimba yangu?pia ni tatizo gani?naombeni msaada wenu
 
Nenda hospitali haraka ndugu,
mtafute mtaalamu wa magonjwa ya wanawake atakusaidia
 
mbona kama ni magonjwa a zinaa mpendwa. nenda hospitali ma dia wahi sasa hivi pole sana
 
inawezekana ikawa ni STI fuata ushauri wa hapo juu, na pia si vema kama ukiumwa ukawa unajinunuia dawa pasi na ushauri wa daktari
 
pole sana, kama ulivyoshauriwa, nenda hospitali, sijui kama umeshachelewa sana! Hakuna haja ya kukaa unatafuta tiba mbadala kabla ya kwenda hospitali, afu zikigonga mwamba ndo unafikiri kwenda hospitali, huu ni ujinga! Ukianza kijisikia ndivyosivyo, mapema, changanya makongoro, nenda hospitali! Ikishindikana hospitali ndio tafuta tiba mbadala! Wengi wamepoteza maisha, au kupata vilema vya maisha kwa kuchelewa kwenda hospitali wakihangaika kwa kina profesa maji marefu! Maji yakiwafika shingoni ndio wanakwenda kufia hospitalini kwa ugonjwa ambao kama wangewahi wangepona! Sasa ww dada mpaka unaoza bado tu hujaamua kwenda kumuona daktari, ujuha huu!
 
mmh,pole sana,na tena mja mzito.ni kama ugonjwa wa zinaa,na inaweza ika mu affect mtoto aliyeko tumboni.nenda hospitali usione aibu kuwaelezea,ili upate tiba
 
Fika hospitali haraka, utahitaji kufanyiwa vipimo. Tungewza kukushauri vitu vingi lakini haitasaidia pasipo kufika hospitali na kufanya vipimo.
 
Pole sana..fuata ushauri wa member humu..wahi hospitali kupata matibabu..
 
Nenda hopitali haraka sana lakini usiogope hiyo ni kawaida utapona tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom