heloo

ile attachment sijui kwnn haitaki kuwa uploaded jamiiforums......kiukweli kuna list ime leak ya selection za waliopita kujiunga na chuo kikuu cha dar es salaam
 
Ahsante but tayari ipo hapa, pitia thread nyingine utaona, labda ulete za vyuo vingine.
 
JF watu wamevamia na wenge la kwenda chuo na wameshaanza kuboa na maswali ambayo majibu yake yako wazi kabisa!
 
Back
Top Bottom