Hellow Tanzania? .... Ahsante Vodacom!!!!.........

snipa

JF-Expert Member
Dec 10, 2013
4,215
1,656
Tuwe wawazi tu
.
Siku zote tuna amka asubuhi hata kumuuliza mwenzio Umeamkaje/
tunashindwa!!
.
Vodacom wanatupatia Sekunde 60 ambayo ni sawa na dakika moja Bure kabisa kuanzia saa 12 - 3 asubuhi
.
Sijui wanatupoza mana wametu pain kweli kwenye kubundi!
 
Sasa hii inahusiana nini na science n tech.....Voda hakuna cha zaidi tena,hili tangazo lafaa liende jukwaa la matangazo
 
Nilishahamia Tigo kama default baada ya kuwa Mtumiaji mwaminifu since 2007.
Voda imebadilika sana, sio ile original.
 
Ndoa yangu na kazi ni kwako imevunjika tangu waanzr uhuni. Sasa hivi naiweka nyuma ya cover la simu

.
Lol hawa jamaa kuna siku watatuacha watupu kabisa hawa....
Toka wabanie kubundi naona bwana Joe hutembei usiku kabisa....
.
 
.
Lol hawa jamaa kuna siku watatuacha watupu kabisa hawa....
Toka wabanie kubundi naona bwana Joe hutembei usiku kabisa....
.

Natembea ila route fupi fupi. Maana usiku ndio muda wangu wa kujidai mchana nakuwa tight. Sasa ivi kwa kweli nadownload mb mia tatu tu kwa usiku ambayo ni episode moja ya series ambayo nilikuwa naiangalia sasa nikawa namalizia season ya mwisho jamaa wakabana.
 
Lol mi waliniweza sana kwenye hii kaka
Hostages.jpg

.
Yaaani lol sema basi tu airtel niliona waki kuda siku flani nimekopa 1500/= afu hawaruhusu kujiunga ..... Lol wakala na 50000 airtel money nikasema sasa basi... Inatosha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom