Hellow JF! Mambo iko Tarangire

Derimto

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
1,307
306
Mimi nachoka kabisa Preta pembeni na ila nachoka kugeuza shingo nyuma pamepambwa na Lili Flower, Wiselady,Pj.chipkizi yaani watu kibao gari limepambwa na marafiki wa ukweli familia ya upendo hatujali itikadi wala dini ya mtu utadhani tumezaliwa pamoja kuna upendo wa ajabu sana natamani kama tanzania nzima tungekuwa huku muziki wa kutosha vinywaji mwake kwenye gari vitafunwa story mpaka tunapeana zamu kwa kunyoosha vidole kuchangia.

Raha mustarehe jamani
 
weraweraaaaa. wadau ile siku yetu ndo imefika...caravan ndo linaingia tarangire. ni balaa 2pu njiani.
 
Thats real gud,safari njema jamani maisha mafupi wekeni shida chini kwakweli,tunawapenda sana.
 
mtuletee na zawadi ya vitoto vya ma grethinker maana lazima hiyo tour ipate endproduct!!!!!!!!!!!!!:teeth::teeth:
 
Wow thats nice hata sisi safari yetu inaanza 5dayz, ambae hakuitwa nikwamba hakufikia vigezo.
 
baba mwenye nyumba tuko nae leo OFFROAD. kwahiyo mtandao ukileta shda pigia sisi huku ili mzee apigie JF MODERATOR1 OR 2
 
weraweraaaaa. wadau ile siku yetu ndo imefika...caravan ndo linaingia tarangire. ni balaa 2pu njiani.
siamini nimekosa kuwakilisha hizo pande,naomba tu unifikishie salamu zangu kwa wote wapwa na binamuzi tena naomba usisahau kuwaambia kwamba nina mapenzi mazito juu yao.
 
mtuletee na zawadi ya vitoto vya ma grethinker maana lazima hiyo tour ipate endproduct!!!!!!!!!!!!!:teeth::teeth:

Nimemnunulia Preta shanga za kiunoni maeneo ya makuyuni lakini Wiselady na Liliflower wameninunia na saharavoice ameanza wivu ila liliflower ameonyesha utu uzima hana wivu ana mapenzi ya kiisilamu zaidi yaani utamu zaidi ni kuwa wakaozaliwa kwenye hizi camp. Ni raha tu

Jamani kitanda hakizai haramu chondechonde na maneno yenu!
 
alhamduli llah,,, khofu yangu kwako tuu,,,mi nilijua utakuja nikakupeleke kwenye more expensive xmass tree in the world abudhabi,,,, lakini ulinisusa na mazuri ukayakosa lakini nimekuekea zawadi ya neckless ya dhahab,, ukIja utaipata iko kwa ajili yako...nakusubiri sikati tamaa...
niambie shosti wangu,roho yangu imetulia kukuona ukiwa mzima na ushungi wako unaokupendeza vilivyo.
Hata mie nakumiss sana.
Natumai umekua na sikukuu njema.
 
aminia sana wapendwa,safari njema,pondeni raha maisha yenyewe mafupi haya.

Nina hamui na wewe nilikukosa ulipokuja Arusha habari zako zinaniwasha masikio ila siku sii nyingi ntakuwa hapo jijini ntajisevia kwa raha zangu Preta naomba usiangalie hii
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom