Hellow JF! Mambo iko Tarangire

Mami hujambo, na wazazi je? Hivi ni macho yangu au umeomba mtindi hapa? Presha inapanda ajabu.

my dear kuliko kukupandisha presha bora nife,wazazi hawajambo wananiuliza 'mwenzio'tutamjua lini.
i miss you soo much,
mbali na kukimiss cjambo kabisa.
wewe je,
 
Mimi nachoka kabisa Preta pembeni na ila nachoka kugeuza shingo nyuma pamepambwa na Lili Flower, Wiselady,Pj.chipkizi yaani watu kibao gari limepambwa na marafiki wa ukweli familia ya upendo hatujali itikadi wala dini ya mtu utadhani tumezaliwa pamoja kuna upendo wa ajabu sana natamani kama tanzania nzima tungekuwa huku muziki wa kutosha vinywaji mwake kwenye gari vitafunwa story mpaka tunapeana zamu kwa kunyoosha vidole kuchangia.

Raha mustarehe jamani

Kijana kumbuka kuwa na heshima na adabu kwa mke wa mtu.
Huyo shosti nimetoka kuchinja nyani juzi kati tu pale yaeda chini halafu wewe unaanza kutafuta network!
Preta usije kunisaliti na hivi vitrip vya siku moja Tarangire, mwenyewe unajua Serengeti ilivyojaa maajabu.
 
Ukipitia hapo Abuu Dhabi mm kanzu na barakashia usinisahau
acha kwanza niitimize ile'ahadi kitiririko' kwanza kabla sijapromise jengine.hata hivyo nikienda kumsalia Niliham nitarudi na zawadi zangu tu alizonipatia shosti wangu.
bila hofu naamini hujambo lkn.
 
acha kwanza niitimize ile'ahadi kitiririko' kwanza kabla sijapromise jengine.hata hivyo nikienda kumsalia Niliham nitarudi na zawadi zangu tu alizonipatia shosti wangu.
bila hofu naamini hujambo lkn.

Dah mm nipo mzima kabisa

Ngoja tuwaombee hao wa mbugani wasije furumishwa na Simba bure

Sipati picha Wiselady ukitolewa baru na fisi sijui utakimbiaje?
 
Kujitolea ni issu sana mkikutana na SIMBA kalala basi moja ajitole kumuamsha...
 
Msisahau kuniletea ulimi wa simba mganga wakienyeji kanituma na macho ya Rhino.

Nilikuwa sijapata net but now nimekaa vizuri nakuletea vingine vizuri ambavyo ni vya masharti nafuu maana si unajua kuwa shehe Yahaya hussen amefukuzwa moroni atakupunguzia bei uwe kama mkwere utashinda mama
 
Pls PRETA usikubali kuvaa SHANGA hizo kuna nyingine nzuri zaidi zipo!!!
Nakuja nazo leo nipo na GUTA langu njiani 2tamit huko mida ya jion!!

Pole kaka maana huyu mtoto kashakolea na hataki hata kukusikia mbona unaleta mbu kaka hakuna rufaa hapa pole we
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom