Hello!magamba, magwanda na wana maloveeez

Ngoksi

Member
Jan 17, 2012
45
12
Jaman mi ni mgen apa ingawa nimekuwa nkipita na kusoma thread mbalimbali ivyo nimejiunga racmi na mie nipate kuchangia
 
Jaman mi ni mgen apa ingawa nimekuwa nkipita na kusoma thread mbalimbali ivyo nimejiunga racmi na mie nipate kuchangia

Karibu sana, lakini naomba msaada kidogo kutoka kwako, hiyo racmi ni neno linalotumika kuwakilisha kitu gani? je ni mnyama? nakama ni mnyama anakula nyasi au nyama. Nitashukuru sana.
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".
 
Karibu sana,we ni gamba au gwanda? Weka na misimamo yako kabisa hapa maana unaonekana ni mshabikia siasa, na kama ni mtu wa malove tukupeleke mmu kwa kina lizzy kama ni wa jokes tukukabithi kwa exllent, ila kama gamba tukupeleke kwa rejao,kama cdm tukukabidhi kwa paka jimmy,kama mtoto wa lowasa for presindency2015 tukuitie pasco.
 
karibu mkuu lakini uache kutumia lugha za facebook (racmi).
 
Back
Top Bottom