KERO Serikali wekeni mwongozo kwa Wamiliki wa Majengo na Nyumba. Wanapandisha kodi kwa asilimia kubwa kila wakijisikia

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Habari wana Jamvi,

Leo nimekuja kuwasilisha kero yangu moja kubwa sana kuhusu hawa watu wanaotupangishia Nyumba au Frame za biashara. Naelewa ni zao na wana haki ila kitendo cha Mmiliki kuamua kupandisha kodi kila baada ya muda mfupi kwa kiwango anachojisikia sio sawa.

Je, Mamlaka husika au Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kuna mwongozo au sheria yoyote ya kumlinda Mpangaji dhidi ya Mpangishaji kuhusu masuala mbalimbali likiwemo hili la kupandishiwa kodi? Wananchi tunaumia maana haiwezekani mtu unapandishiwa kodi kiholela kwa 120% ndani ya miaka miwili

Wafanyabiashara katika eneo Sinza Mori - Dar, Frame zinazotazamana na Kituo cha Mafuta cha Big Born wamepandishiwa kodi kwa asilimia 90% ndani ya mwaka mmoja. Kodi hiyo imepanda kutoka takribani TZS 700,000/- hadi TZS 1,500,000/- na mabadiliko haya yameanza Machi 2024.

Lakini kwenye frame hizo hizo naambiwa kwa mwaka jana 2023 kodi ilipanda kutoka TZS 400,000/- hadi kufikia 700,000/-. Naelewa hawa ni wafanya biashara na huenda kwamba anayeshindwa kulipa si lazima akae hapo lakini hii sio haki na sio sawa.

Najiuliza sana kama hawa wanafanyiwa hivi, si ajabu pia kuna wengine wanafanyiwa hivi lakini kwa taratibu tulizonazo hakuwa sehemu ya kufikisha malalamiko yao.

Serikali ni vema kuweka miongozo au kanuni kuhusu masuala ya kupangisha nyumba au frame; miongozo iseme wazi ni wakati kati kodi inaweza kupanda na kwa kwa kiasi gani na masuala mengine bila kumuumiza Mpangaji au Mpangishaji

Hali hii inaweza kusababaisha kuua bishara za wengi kwani kwa mfanyabiashara kuhama eneo huwa na impact kubwa sana lakini pia atawezaje kupata nguvu ya kupambana na biashara ili aweze kuishi na kuweza kuchangia mapato kikamilfu kwenye mamlaka za mapato Tanzania (TRA) kwaajili ya kuchangia pato la taifa kwaajili ya maendeleo ya wote?

Malalamiko mengine ni kuwa Mmiliki anataka fedha ya miezi 6 na hataki kupokea bank transfer bali anataka kiasi hiko kikubwa cha fedha takriban 9M kama fedha taslimu (mkononi), mbali na hayo Mmiliki anatoa mkataba wenye 1% ya pesa ilio lipwa yaani Mkataba kusoma Tsz 100,000/= tu

Je, Mamlaka husika inawasaidiaje Wafanyabiashara hawa? Mana hii ni kama case study ya tatizo hili nchini kwetu, wapo wanao miliki majengo na frame wengi sanaa wenye tabiaa hii.

Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo na Makazi na Mamlaka ya Mapato (TRA) tunapaza sauti kwenu, tunaomba msikie sauti zetuu!
 
Bro ulichoandika Ni sahihi na Wala Hakuna ninayemshabikia Ila kumponda.
Let us talk the truth/heart and never sugar-coat sh💩.
Bro wewe Ni mfanyabiashara nadhani sio kila bidhaa yako iko regulated na bei gani utauza na unachojali Ni faida na zaidi kabisa superprofit.

Mfano ukiwa unauza hata ule uwanja wako let say 30M na akatokea mtu akawa anakupa 25M na mwingine akatokea ghafula huku ndio mnaandikiana mktaba Ila hujapokea hela ama dalali akakupigia simu kuwa Kuna jamaa Anazo 50M.
Waza hapa utafanyeje let us be transparent please ,am sure utaachana na huyu jamaa haraka unaweza singizia kuwa Kuna dharura umepata ili tu uipokee iyo hela.

Njoo Sasa bado dalali akakuunganisha na ukamtoa 5M na bado ukaja kugundua kuwa tajiri alitoa 120M dalali alikula 70M yaani mpaka mwenye Mali. Hapa naomba uwe mkweli utajisikiaje na yule uliyemuacha wa 25M atajisikiaje.

Nakuja kwenye mawazo yangu ama who am I na sio mwingine yeyote yule Mana kila binadamu duniani kila mtu anatofautiana na mwingine hata kimuonekano yaani kwa kila kitu.

Whom am I ni ivi naomba uwaze kuwa hii Ni dunia ya 🐕 eats another 🐕 na Hakuna huruma Wala msalie mtume.
Yaani binadamu tunakulana Kama wanyama wanavyokulana ,huwa namuona mwewe anawazungukia vifaranga hapa home kuku akishatotoa.

Sasa unapozidiwa ama unapoliwa usilalamike don't blame the opponent Bali blame the game.
Yaani life in short is the game of survive and prosper/thrive na watu Wana play this game so called life using skills, strategy,others use luck and chance.

Yaani angalia watu wa dini wanavyowala watu dhaifu aka masikini.
Yaani wale watawa wa rc wao Wana magari yao kabisa ,padri anataka kununuliwa gari la 100M na waumini ambao wanakula ili siku ziende.
Yaani wanachangishana hela kuzidi kujimarisha hao rc ama religion institutions like mashule, hospital,maduka na viwanda.

Sasa changisheni mjenge shule mpeleke mwanao akose Ada ndio utajua ule upendo/love emotion ambao ndio weapon wanayoitumia pale madhabahuni kuwala watu Kama utauona kwao.

Njoo wanasiasa wanapambana wakae juu ili watule na Wala sio kwia wanakuja kukusaidia wewe. Check imepeNdekezwa kila line ikatwe 2000 ili bima kwa wote wakati huo dp world mktaba ulikuwa Ni milele na wasemehewe Kodi milele.
So unamkula mnyonge tu ama dhaifu

Waza kuwa cheetah hajisumbui kukimbiza mnyamaa wa kula anasubiria hata wiki nzima anasubiria baby antelope na sio baby tu Bali lame baby antelope.

Jamaa wamejiongezea salary na wakimaliza kipindi Chao wanapewa hela yao Hakuna kusubiria muda fulani ndio achukue mafao Ila wewe wanakupenda wanakuambia subiria 60yrs ifike ndio upewe hizo hela na utapewa kidogokidogo Mana wanakupenda.

So nadhani hii dunia inabidi tuwe na hiyo mindset tutasonga mbele.
Labda hapo ulipo jamaa wenye wanapataka so unapandishiwa hutaki Hama.
Mana viwanja na materials mpaka ufundi uko juu na gharama za maisha zimependa, umeona wenye magari wameoandisha nauli kisa icho icho Ila salary ya watumishi iko palepale Hakuna gharama za maisha kupanda kwa wao.
Simba anaua mnyama anakula Ila fisi anakuja kumtoa hata chui huwa anakulaga fasta zile sehemu laini kabla hajatolewa ama walafi wamfukuze.

Let us accept wholeheartedly kuwa hapa duniani tupo katika jungle we're fighting everyday and those having even slightest edge like patience and discipline survive longer.
Am sure hakuna anayekuonea huruma like your mom.
Kuna watu wanapiga kazi viwandani wanalipwa 5000 kwa day na hao viongozi watetezi wapo tu can you imagine labda anapigwa fungu anatulia.
Let us come up with more strategic game plan to play chess game bro.
Am sorry najua hutofurahi Mana am against na your beliefs Mana watu mkishatofautiana tu beliefs Ni chuki na kununiana na ndio Mana Kuna watu inabidi ujifanye dini ama kabila yao ili tu ule mema na upewe mazuri yao.
 
Mmiliki anatoa mkataba wenye 1% ya pesa ilio lipwa yaani Mkataba kusoma Tsz 100,000/= tu
Hii Kama mbinu yake ya kukwepa mapato hata wewe sio muaminifu kwenye biashara zako huwa hauniki kila kitu let us be transparent na asili ya ubongo wetu Ni kujilinda na kuhakikisha wewe uko salama.
Yaani tunaona mazuri yetu Ila mabaya yetu hatuwezi kuyaona Wala kuyazungumzia Bali tunazungumzia mabaya ya wengine Ila na mazuri yao hatuyazungumzii.

Hii inaitwa self service Ni asili ya akili ya mwanadamu.

Yaani naongea mazuri yangu Ila mabaya siongei.
Meanwhile I do opposite kwa mwenzangu .

Naongea mabaya yake Ila mazuri yake siyaongelei.
Sorry najua una maumivu kutolewa eneo la biashara umezoeleka Mara tu unahamishwa
 
Habari wana Jamvi,

Leo nimekuja kuwasilisha kero yangu moja kubwa sana kuhusu hawa watu wanaotupangishia Nyumba au Frame za biashara. Naelewa ni zao na wana haki ila kitendo cha Mmiliki kuamua kupandisha kodi kila baada ya muda mfupi kwa kiwango anachojisikia sio sawa.

Je, Mamlaka husika au Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kuna mwongozo au sheria yoyote ya kumlinda Mpangaji dhidi ya Mpangishaji kuhusu masuala mbalimbali likiwemo hili la kupandishiwa kodi? Wananchi tunaumia maana haiwezekani mtu unapandishiwa kodi kiholela kwa 120% ndani ya miaka miwili

Wafanyabiashara katika eneo Sinza Mori - Dar, Frame zinazotazamana na Kituo cha Mafuta cha Big Born wamepandishiwa kodi kwa asilimia 90% ndani ya mwaka mmoja. Kodi hiyo imepanda kutoka takribani TZS 700,000/- hadi TZS 1,500,000/- na mabadiliko haya yameanza Machi 2024.

Lakini kwenye frame hizo hizo naambiwa kwa mwaka jana 2023 kodi ilipanda kutoka TZS 400,000/- hadi kufikia 700,000/-. Naelewa hawa ni wafanya biashara na huenda kwamba anayeshindwa kulipa si lazima akae hapo lakini hii sio haki na sio sawa.

Najiuliza sana kama hawa wanafanyiwa hivi, si ajabu pia kuna wengine wanafanyiwa hivi lakini kwa taratibu tulizonazo hakuwa sehemu ya kufikisha malalamiko yao.

Serikali ni vema kuweka miongozo au kanuni kuhusu masuala ya kupangisha nyumba au frame; miongozo iseme wazi ni wakati kati kodi inaweza kupanda na kwa kwa kiasi gani na masuala mengine bila kumuumiza Mpangaji au Mpangishaji

Hali hii inaweza kusababaisha kuua bishara za wengi kwani kwa mfanyabiashara kuhama eneo huwa na impact kubwa sana lakini pia atawezaje kupata nguvu ya kupambana na biashara ili aweze kuishi na kuweza kuchangia mapato kikamilfu kwenye mamlaka za mapato Tanzania (TRA) kwaajili ya kuchangia pato la taifa kwaajili ya maendeleo ya wote?

Malalamiko mengine ni kuwa Mmiliki anataka fedha ya miezi 6 na hataki kupokea bank transfer bali anataka kiasi hiko kikubwa cha fedha takriban 9M kama fedha taslimu (mkononi), mbali na hayo Mmiliki anatoa mkataba wenye 1% ya pesa ilio lipwa yaani Mkataba kusoma Tsz 100,000/= tu

Je, Mamlaka husika inawasaidiaje Wafanyabiashara hawa? Mana hii ni kama case study ya tatizo hili nchini kwetu, wapo wanao miliki majengo na frame wengi sanaa wenye tabiaa hii.

Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo na Makazi na Mamlaka ya Mapato (TRA) tunapaza sauti kwenu, tunaomba msikie sauti zetuu!
hiyo ni private property, sio public property, hivyo serikali iingilie wapi kwenye jengo la mtu? watakachofanya ni kuwaelekeza tu kwamba kwasababu unafanya biashara ya upangishaji lazima ulipe kodi, jambo litakakokuongezea kodi zaidi wewe mwenyewe pia. solution ni kupambana katika maisha ili either ujenge nyumba ya kwako ama la, chagua sehemu ya hali ya level zako ukapange, kuliko kung'ang'ania kuishi sehemu ya kodi usiyoweza kulipa na kuomba msaada kwa serikali ikusaidie kumshughulikia mtu aliyetoa jasho kujenga nyumba yake. naamini ungekuwa na pesa za kutosha hapo ulipo ungelipa kodi yeyote ambayo ungetajiwa. hapo ndipo penye tatizo la kushughulikia, uchumi wako au uchaguzi wa eneo la level zako.

WARUMI 12:16 INASEMA; Mpatane nia zenu ninyi kwa ninyi. Msinie yaliyo makuu, lakini mkubali kushughulishwa na mambo manyonge. Msiwe watu wa kujivunia akili.

hapa anamaanisha, shirikianeni tu au ishini tu na watu wote, ishi tu hata na watu wa hali ya chini na usijiinueee au usiwe na kiburi.
 
sio haki na sio sawa.
Hakuna haki duniani na hakuna sawa sema tu iko kwenye hesabu kuwa 3+7=10 iyo Alama ya katikati kabla ya 10 ndio sawasawa ama sawa.
Viongozi hao wenyewe wanatukula mno,wazungu wamefanya watu watumwa Karne na Karne na mwarabu amemuuza mtu utumwani baadaye ukaletewa kirusi dini kikufunge kichwani na akili yako.
Saivi unaibiwa kwa kalamu, uza bandari, madini yetu,gesi zetu kwa wanufaika wachache mno. Tuliambiwa umeme wa gesi matatizo ya umeme kukatika hakuna, wao wenyewe Kura wanaiba unadhani kuwa Kuna haki na sawa kweli bro.

Yaani hii dunia ukiitizama kwa jicho la wanyama wanavyoishi utaielewa vizuri mno.

Mtu anapewa apartments ama mjengo huko new York kazi yake Ni kupokea Kodi unadhani atashindwa kukubalia madini yachimbwe miaka Mia moja na mchanga wote chukueni.
 
kupata nguvu ya kupambana na biashara ili aweze kuishi na kuweza kuchangia mapato kikamilfu kwenye mamlaka za mapato Tanzania (TRA)
Mapato yenyewe hata uchangie sio lengo lako pia hapa kuwa mkweli sema unaomba Kama kungekuwepo na utaratibu wa Kodi uliopangwa ,Ila Sasa hii dunia kila mtu anakula mwingine hata huyo unayemwambia anakula mtu.

Waza mlinzi analipwa 200k Ila kampuni inalipwa 700k kila kichwa.

Waza engineer analipwa 2M kwenye kampuni ya ujenzi Kama msimamizi Ila yeye anaaandikiwa kuwa analipwa 5M.
Think twice hii dunia bro kikubwa omba uwe na makucha na meno makali ya kukata nyama Kama mademu wategemeo vagina zao kuishi wanavyohalalisha kuwa acha tu waliwe na wenye hela
(TRA) kwaajili ya kuchangia pato la taifa kwaajili ya maendeleo ya wote?
Kweli bro unapenda wote kweli ama unapenda kutumia serikali ikusadie wewe kwa Jambo kuonyesha wote wananufaika na mapato. Hujawahi kwepa kweli kulipa Kodi tokea uanze biashara zako.
Ungekuwa na ghorofa kadhaa hapo mjini kweli ungeandika haya let us be transparent. Jamaa analalamika konda akajaza abiria na sio Sheria kusimamisha na huku yeye akiwa na gari atapenda wabebane Kama watt ili apige pesa
 
Mwongozo uko sema ni outdated
Biashara ya nyumba,viwanja aka Real estate inaendeshwa na nguvu ya soko,kwa maana ya demand and supply,hivyo kuiregulate ni ngumu

Ni biashara inayojiendesha kutokana na uchumi wa nchi unavyoshuka na kupanda,Sera za nchi,political stability,politics nk

Huoni kipindi Cha magu viwanja,nyumba na frem nyingi zilishuka bei?

Mimi ninachopingana nacho ni kumlazimisha mtu kulipa Kodi ya miezi 6,at least iwe miezi mi3 kwa nyumba za kupanga za kuishi.
 
Dunia nzima imebadilika tangu ujio wa Covid-19
Kila kitu kikapanda na kupanda na ikawa kila kitu Covid
Leo miaka mitano na bado vitu vinapanda kwa kila aina ya kitu kinachoingiza hela

Poleni ila ndio hivyo
Tena sasa imekuwa ya Houthi wala usisema na Houthi kaingiaje hapo
Maana nikikuuliza nguo ya Eid kwa mtoto wa kike utasema ninety thousand wakati zilikuwa 25,000 kisa Houthi kabana Meli
Ujio wa Somali Pirates nao wanajipanga

Hapa nawaza nikajiunge tu huko
Maana maisha ni matamu zaidi kama kuna changamoto
 
Serikali wao ndiyo walitakiwa kuja na kufanya housing projects kwa ajili ya makazi ya wananchi ili kuwasaidia angalau kodi ziwe nafuu,lakini hao hao unaowalilia
Wakijagq na vimradi vyao bei zao sasa,mfano pale moroco
Mleta uzi ili uondokane na kaadhia hii we jenga tu kibanda chako

Ova
 
Nakumbuka mwenye nyumba wangu alikuwa anapandisha pandisha kodi kila wakati ili kumuonyesha kwamba hela zipo na hainistui nikamlipa hela nyingi tu ya kodi ya miaka kadhaa ijayo isiyojulikana akasema kwa hela nyingi hizi ulizonipa ni sawa na hela za kununulia ile nyumba hivyo akaona aniachie tu ile nyumba nikawa nimeinunua
 
Habari wana Jamvi,

Leo nimekuja kuwasilisha kero yangu moja kubwa sana kuhusu hawa watu wanaotupangishia Nyumba au Frame za biashara. Naelewa ni zao na wana haki ila kitendo cha Mmiliki kuamua kupandisha kodi kila baada ya muda mfupi kwa kiwango anachojisikia sio sawa.
  • Pole sana kwa changamoto. Kama sikosei kuna sheria inasema mpagaji asilipishwe kodi zaidi ya miezi mitatu ya mbele.
  • Huyo mwenye frame nae ni mkwepa kodi ndiyo maana anataka alipwe cash, anajua pesa zikipita benki jamaa wanaweza mpitia na kumdai kodi ya mapato.
  • Serikali nayo inawatoza hao wenye majengo kodi za majengo hii ni tofauti na kodi ya kiwanja, hivyo jamaa wanahamishia kwa mpangaji. labda serikali ipunguze kodi za majengo.
  • Hata pakiwekwa sheria, nani atafuatiliautekelezaji wake? Hii inaweza kufungulia mwanya wa rushwa.
 
Habari wana Jamvi,

Leo nimekuja kuwasilisha kero yangu moja kubwa sana kuhusu hawa watu wanaotupangishia Nyumba au Frame za biashara. Naelewa ni zao na wana haki ila kitendo cha Mmiliki kuamua kupandisha kodi kila baada ya muda mfupi kwa kiwango anachojisikia sio sawa.

Je, Mamlaka husika au Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kuna mwongozo au sheria yoyote ya kumlinda Mpangaji dhidi ya Mpangishaji kuhusu masuala mbalimbali likiwemo hili la kupandishiwa kodi? Wananchi tunaumia maana haiwezekani mtu unapandishiwa kodi kiholela kwa 120% ndani ya miaka miwili

Wafanyabiashara katika eneo Sinza Mori - Dar, Frame zinazotazamana na Kituo cha Mafuta cha Big Born wamepandishiwa kodi kwa asilimia 90% ndani ya mwaka mmoja. Kodi hiyo imepanda kutoka takribani TZS 700,000/- hadi TZS 1,500,000/- na mabadiliko haya yameanza Machi 2024.

Lakini kwenye frame hizo hizo naambiwa kwa mwaka jana 2023 kodi ilipanda kutoka TZS 400,000/- hadi kufikia 700,000/-. Naelewa hawa ni wafanya biashara na huenda kwamba anayeshindwa kulipa si lazima akae hapo lakini hii sio haki na sio sawa.

Najiuliza sana kama hawa wanafanyiwa hivi, si ajabu pia kuna wengine wanafanyiwa hivi lakini kwa taratibu tulizonazo hakuwa sehemu ya kufikisha malalamiko yao.

Serikali ni vema kuweka miongozo au kanuni kuhusu masuala ya kupangisha nyumba au frame; miongozo iseme wazi ni wakati kati kodi inaweza kupanda na kwa kwa kiasi gani na masuala mengine bila kumuumiza Mpangaji au Mpangishaji

Hali hii inaweza kusababaisha kuua bishara za wengi kwani kwa mfanyabiashara kuhama eneo huwa na impact kubwa sana lakini pia atawezaje kupata nguvu ya kupambana na biashara ili aweze kuishi na kuweza kuchangia mapato kikamilfu kwenye mamlaka za mapato Tanzania (TRA) kwaajili ya kuchangia pato la taifa kwaajili ya maendeleo ya wote?

Malalamiko mengine ni kuwa Mmiliki anataka fedha ya miezi 6 na hataki kupokea bank transfer bali anataka kiasi hiko kikubwa cha fedha takriban 9M kama fedha taslimu (mkononi), mbali na hayo Mmiliki anatoa mkataba wenye 1% ya pesa ilio lipwa yaani Mkataba kusoma Tsz 100,000/= tu

Je, Mamlaka husika inawasaidiaje Wafanyabiashara hawa? Mana hii ni kama case study ya tatizo hili nchini kwetu, wapo wanao miliki majengo na frame wengi sanaa wenye tabiaa hii.

Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo na Makazi na Mamlaka ya Mapato (TRA) tunapaza sauti kwenu, tunaomba msikie sauti zetuu!
Unajua ugumu na uchungu wa kujenga?.
 
Tsh 1,500,000 ni kitu gani kwa kkoo, mtu anauza 100mln kwa siku.Binafsi nanunua mzigo wa 3mln kwa mtu mmoja.Hiyo kodi ni ndogo sana labda useme upande wa mikataba.
 
Acha kulia lia
Wakati mwenzako anajibana kwa ajili ya ujenzi, wewe ulikua bar unakunywa bia
 
Duniani hatufa

Duniani hakuna haki ya mtu kuwa na haki juu ya mali ya mtu mwingine.Utofauti wa Kodi ya pango la commercial properties kama nyumba au maduka inatofautiana kati ya nchi na nchi na miji na miji kulingana na maendeleo ya eneo husika;Kuna miji kama New York na Tokyo tunaambiwa ni miongoni mwa miji ghali zaidi kuishi Duniani kwa maana ya Kodi za makazi na maeneo ya Biashara,kwani huko hakuna serikali?
Ata hapa Tanzania ni hivyo hivyo, huwezi kutaka bei ya fremu ya Sinza ifanane na bei ya Tegeta kwa ndevu au bei ya fremu Ubungo ifanane na Masaki!!
Mkuu pambana na hali yako, huwezi kumudu Kodi ya Sinza,wahi Mbezi mwisho!
 
Back
Top Bottom