Heligoland-Zanzibar Treaty:The basis For Malawi Claims

Serikali ya Tanzania inalijua hili kwa wazi na mapana yake kwamba hatuna haki hata ye tone moja la maji ya Ziwa Malawi.

Serikali haitakiwi kulifanya jambo hili la kisiasa maana kama ni siasa zako utacheza na wananchi wako lakini unaoweza kuwapiga mabomu ya machozi lakini si kwa watu kama Malawi ambao ni Soveregn state subject to international laws.

Kama kweli Tanzania inataka hata tone moja la Ziwa Nyasa, iachane na porojo za kisiasa na i-file lawsuit for the boundary ili mpaka uwe katikati ya maji kama wengine duniani.

Vinginevyo tutapigizana kelele kama wajinga na hakuna litakalotokea. Tutasubiri Rais wa Malawi tunayechekeana naye anayewapiga mabomu wapinzani wake nchini mwake, sisi tunatumia ziwa lile na kudhani kama ni letu.

Kesho wapinzani wa Malawi waliokuwa wanapigwa mabomu ya mchozi wanakamata nchi, na nyinyi mliokuwa ama mnakaa kimya bila kumkemea anaona mnatumia ziwa lake na si lenu. Kwa nini asilie na nyinyi.

Mimi huyu mama wa Malawi namkubali. Inawezekana anawapa fundisho wote waliomkera akiwa mpinzani wa serikali. Unadhani kwa nini alisema hamtaki Omar Bashir kuja mle.

Mwacheni mama yetu awafundishe adabu wote wanaodhani tutafumbia maonevu ya dunia na ndipo mjue muonewaji akikamata power mjue litakalotokea.

Najua kuna watakaonikejeli kuwa sina uzalendo. Hapa si suala la uzalendo. Baba na mama yangu wakifanya ujambazi wa kumdhulumu jirani yangu siwezi kukaa kimya na kuwatetea kwa kinachoitwa uzalendo. Huo ni wizi.

Nendeni Mahakama za Kimataifa kuwashinda wamalawi na msidhani wa kupelekwa mahakamani ni migomo ya madktari na walimu tu.

1. una mkubali kwa lipi hasa................?

2. awafundishe nani........?

Heligoland treaty temporarily settled colonial disputes between Germany and Great Britain.
T was clearly meant for temporal solution ss unataka kujustify nn hpa....

Section VI states "any correction of the demarcation lines described in Articles I to IV that becomes necessary due to local requirements may be undertaken by agreement between the two powers."

F one party fails to abide with section VI the results will either be taking the case to the International Court of Justice or WAR nothing else......

Liwe Liwalo..........
 
Hapana, hiyo ni order ya mfalme wa uingereza akitangaza mipaka ya himaya yake; utatakiwa uprove kuwa zaidi ya himaya za uingereza na himaya ya ujerumani kulikuwa na himaya nyingine hapo katikati ya ziwa ambayo baadaye iliungana na himaya ya uingereza kuwa malawi. Na kwa kufanya hivyo tutahitaji kuijua himaya hiyo ilikuwa ipi. Kumbuka kuwa chini ya hiyo order mfalme aliteua gavana na kumtuma kwenda kutawala himaya hiyo, na chini ya amri hiyo, Gavana huyo hakuwa na mamlaka ya kutawala eno la ziwa. Soma tena kwa makini utaona wazi kuwa treaty ya 1890 haikutangaza mipaka wa British Central Africa, bali ilitangaza mipaka wa German East Africa tu. treaty ile ilikwenda mbali zaidi kutamka mipaka ya uingereza kaskazini mwa German East africa kwa vile ndiko kulikokuwa kumefanyika mabadiliko, kutokana na eneo la Witu kuhamia mikononi mwao kutoka mikononi mwa wajerumani. Kwa kusini mwa africa himaya yao haikuwa imebadilika kwa hiyo haikuwa affected na ile treaty. Sasa ukishaelewa hivyo, ndipo unapojiuliza maswali mawili:

(a) je eneo ambalo lilikuwa nje ya himaya ua ujerumani lilikuwa ni la uingereza automatically (hiyo ndiyo logic ambayo wewe na wamalawi mnatumia). Unfortunately hakuna ushahidi wowote kuonyesha hivyo. In fact ushahidi unapinga logic hiyo, kwani chini ya mgawanyo wa Berlin Conference wa 1884, eneo lote la Ziwa Nyasa, Ziwa Tanganyika, Mto Zambezi, Mto Niger, na Mto Congo, yalikuwa hayakumilikiwa na nchi yoyote kwa vile yalikuwa designated kuwa ni free trade areas; iwapo treaty ingetaka kuweka ziwa lile mikononi mwa waingereza ingeonyesha hivyo kama ilivyofanya kwa eneo la Witu, au ilivyogawanya ziwa Tanganyika

(b) Sasa basi mpaka halisi wa uingereza kwenye lile ziwa ulikuwa ulikuwa ni upi? ndipo unaposoma tena hiyo amri ya mfalme ya mwaka 1902, au rudi kwenye ramani ya berlin conference ya 1884.

Kichuguu give time, kwa ajili ya rearch zaidi then nitakuja kwako baadaye
 
Msaada kwenye tuta, Attachment inafanyikaje ili niweze kuweka hio document
 
Kwa wanaowalaumu kina Nitakupataje na na wengine kuwa si wazalendo hamuwatendei haki na kwa taarifa bdo hiyo link yako ya http://http://edocs.nps.edu/npspubs/...un_Msafiri.pdf haifunguki ila nimepata mwanga kutoka kwa Kibanga ampiga Mkoloni km kweli tutafuata hiyo United Nations Convention on the Law of the Sea inaweza saidia au tukawasaidia watawala wetu maana Mh, Samweli Sitta na Mwanasheria Mkuu wa serikali Mh. Werema wakubali wasikubali wamechemsha katika hili na hata tukipelekwa Mahakama yoyote ya Kimataifa au ya mwanzo hapa kijijini kwetu kwa ushahidi huu nilioukuta ni kwamba Tanzania tutashindwa labda ubabe wa kivita. Mimi nashauri tukae mezani hili ziwa Nyasa bado ni la WamalawiNimejaribu kusearch kwa kutumia Satelite katika Google earth na kuZoom hadi mwisho nimeambulia kuogopa nii aibuhebu Bofya hapa Malawi Map: Central — Southern | Malawi Google Satellite Maps au angalia tena hizi ramani za Google Satelite za majuzi au leo leo

Naomba msaada kuattach document inafanyikaje, ili niweze ku-attach hio document badala ya link
 
Nikupateje wewe utakuwa mmalawi uliyejibanza hapa kwetu.
Kama ni mtanzania basi utakuwa jinga kabisa. Miaka yote wamalawi walikuwa hawajui kwamba ziwa lote ni la kwao?
Nachojua ni kwamba malawi watake wasitake, wapende wasipende tunagawana pasu kwa pasu ziwa nyasa.

Ikumbukwe kwamba, Msumbiji na wao wana portion fulani ya mpaka ndani ya ziwa hili, hivyo madai ya Malawi kwamba maji ya ziwa Nyasa ni yao inabidi yaguse na maslahi ya nchi ya Msumbiji pia. Sasa kwa muktadha huo, iwapo miamba inaonesha kwamba dalili za mafuta zipo kaskazini mwa ziwa mpakani na Tanzania, then msala tunao. Ila kama dalili zinaonesha kwamba hata mpakani na Msumbiji mafuta yapo, basi hili tatizo huenda likaambukizwa na kwao pia. Tuendelee na mjadala

Ukizitazama ramani kwa upande wa Msumbiji hamna mjadala. Uingereza na Ureno walishatatua hilo tatizo.

Tatizo lililopo kati yetu na Malawi ni kwamba, Heligoland treaty inaonesha himaya ya Ujerumani(Tanzania) itaishia kwenye kingo za maji kwa upande wa Mashariki mwa ziwa Nyasa

NATAMKA RASMI namuunga mkono mchangiaji KICHUGUU, Heligoland treaty ilibainisha mipaka ya German East Africa Company(Tanzania). Haikubainisha mipaka ya British Central Africa

Ila mipaka ya British Central Africa in relation to lake Nyasa imebainishwa kwenye The London Gazette la August 15, 1902........page 5311

Sasa ukitumia Heligoland treaty na hiyo order iliyoko kwenye the London gazette matokeo yake utaona ziwa Nyasa halikumilikishwa kwa colonial power yoyote. Hilo linajidhihirisha pia kwenye article VIII ya Heligoland treaty ambayo inataka matumizi ya mito na maziwa yawe huru(shipping is free on lakes, rivers, canals and their ports for both flags

Kiini cha tatizo hili kwa maoni yangu ni .... Baada ya Uingereza kuishinda Ujerumani kwenye WW1 Tanganyika ikawa chini ya himaya ya Mwingereza hali kadhalika Malawi. Kukawa hakuna tena umuhimu wa suala la huu mpaka. Tofauti na Msumbiji ambayo ilikuwa ni himaya ya Mreno ilibidi mpaka uwekwe mapema. Pia kuzembea kwa serikali zetu baada ya uhuru wa nchi zetu. Nchi za Magharibi zinavyohusudu mafuta hapa vita havita epukika. Mataifa ya kibepari yanaamini WHERE THERE'S WAR THERE'S OPPORTUNITY
 
Naomba msaada kuattach document inafanyikaje, ili niweze ku-attach hio document badala ya link

Jaribu kuidownload hiyo document halafu uiupload kama file attachment I ain't sure though
 
Serikali ya Tanzania inalijua hili kwa wazi na mapana yake kwamba hatuna haki hata ye tone moja la maji ya Ziwa Malawi.

Serikali haitakiwi kulifanya jambo hili la kisiasa maana kama ni siasa zako utacheza na wananchi wako lakini unaoweza kuwapiga mabomu ya machozi lakini si kwa watu kama Malawi ambao ni Soveregn state subject to international laws.

Kama kweli Tanzania inataka hata tone moja la Ziwa Nyasa, iachane na porojo za kisiasa na i-file lawsuit for the boundary ili mpaka uwe katikati ya maji kama wengine duniani.

Vinginevyo tutapigizana kelele kama wajinga na hakuna litakalotokea. Tutasubiri Rais wa Malawi tunayechekeana naye anayewapiga mabomu wapinzani wake nchini mwake, sisi tunatumia ziwa lile na kudhani kama ni letu.

Kesho wapinzani wa Malawi waliokuwa wanapigwa mabomu ya mchozi wanakamata nchi, na nyinyi mliokuwa ama mnakaa kimya bila kumkemea anaona mnatumia ziwa lake na si lenu. Kwa nini asilie na nyinyi.

Mimi huyu mama wa Malawi namkubali. Inawezekana anawapa fundisho wote waliomkera akiwa mpinzani wa serikali. Unadhani kwa nini alisema hamtaki Omar Bashir kuja mle.

Mwacheni mama yetu awafundishe adabu wote wanaodhani tutafumbia maonevu ya dunia na ndipo mjue muonewaji akikamata power mjue litakalotokea.

Najua kuna watakaonikejeli kuwa sina uzalendo. Hapa si suala la uzalendo. Baba na mama yangu wakifanya ujambazi wa kumdhulumu jirani yangu siwezi kukaa kimya na kuwatetea kwa kinachoitwa uzalendo. Huo ni wizi.

Nendeni Mahakama za Kimataifa kuwashinda wamalawi na msidhani wa kupelekwa mahakamani ni migomo ya madktari na walimu tu.

They have basis, wehave the Berlin of 1884/85 mpaka uko katikati ya ziwa. Waende mahakamani ila wakichokoza tujibu kwa nguvu.
 
Kwenye hiyo Berlin conference kama unaweza tuwekee hapa ushahidi kwamba mpaka umepita katikati. Kumbuka pia Heligoland treaty ilikuja baada ya Berlin na moja ya matokeo yake ilikuwa sisi kupewa mlima Kilimanjaro vinginevyo uking'ang'ana na Berlin conference hutawatendea haki Wakenya kwa Mlima Kilimanjaro

Berlin conference kwa issue ya ziwa nyasa imepitwa na wakati. Tusimamie wanapotaka wao, Heligoland treaty
 
Nimeaangalia ramani ya Tanzania kwenye www.ciaworldfactbook kwa kweli inaonyesha mpaka na Malawi upo kwenye kingo za mashariki za ziwa. Ina maana ziwa lote lipo Malawi.

hiyo ni argument isyokuwa na mantiki yoyote. Ramani ya CIA siyo authoritative document ya kuweka mipaka baina ya nchi mbili. Je nikichora ramani yangu na kuonyesha kuwa hakuna mpaka baina ya malawi na Tanzania utasemaje. hat Google wanajua kuhusu utata wa mpaka huu ndiyo maana huwa hawawatumii solid like katika kuuchora, badala yaka hutumi dotodoti kuonyesha kuwa hauna uhakika.
 
They have basis, wehave the Berlin of 1884/85 mpaka uko katikati ya ziwa. Waende mahakamani ila wakichokoza tujibu kwa nguvu.

Kwenye hiyo Berlin conference kama unaweza tuwekee hapa ushahidi kwamba mpaka umepita katikati. Kumbuka pia Heligoland treaty ilikuja baada ya Berlin na moja ya matokeo yake ilikuwa sisi kupewa mlima Kilimanjaro vinginevyo uking'ang'ana na Berlin conference hutawatendea haki Wakenya kwa Mlima Kilimanjaro

Berlin conference kwa issue ya ziwa nyasa imepitwa na wakati. Tusimamie wanapotaka wao, Heligoland treaty

Hapana, Berlin Conference haikugawanya ziwa lile pamoja na ziwa Tanganyika; yalikuwa ni free trade areas. Maeneo mengine yaliyokuwa free trade areas ni pamoja na mito ya Kongo, Niger na Zambezi; kwa hiyo hayakuwa yanamilikiwa na nchi yoyote. Makubaliano ya Heligo ndiyo yaliyogawanya ziwa Tanzanyika lakini Ziwa Nyasa lilibaki likiwa ni free trade. area.
 
now i get it from kichuguu point of perspective, ni kwamba mpaka wa nchi au wao hao wajerumani ulikuwa ni kingo za ziwa, sasa kwa mantiki ya kibiashara ziwa lilikuwa la wote kutokana na kwamba wote tunahitaji maji, uvuvi, na njia za usafiri, kwa matiki hiyo hiyo mipaka ya malawi inatakiwa kuwa, kwenye shores za lake kamuzu/malawi/nyasa, sasa ukitoka hapo ndipo sheria za kugawana maji nk zinapotakiwa kuanza kutumika. kila mtu apate share yake kutokana na sheria hizo
 
kipengele cha hiyo heligoland treat kinachoweza kutusaidia
Article VIII Both powers agree to apply the provisions of the first five articles of the General Act of the 1885 Berlin Conference in all areas of their territories located within the free trade zone described in this Act and to which its first five articles are applicable on the day of the conclusion of the present treaty. According to these provisions, trade is free; shipping is free on lakes, rivers, canals and their ports for both flags; unequal treatment as regards transport or coastal trade is prohibited; goods of either origin shall not be subject to taxes other than those raised to cover trade-related outlays, unequal treatment excluded. Transit duty may not be levied, and monopolies and privileged commercial treatment may not be granted. The subjects of both powers have the right to settle freely in either power‟s territories, provided that these are located in the free trade zone. It is understood, in particular, that, in accordance with these provisions, the transport of goods by both sides shall not be subject to any obstacles or transit duties between Lake Nyasa and the Congo Free State, between Lake Nyasa and Lake Tanganyika, on Lake Tanganyika, and between this lake and the northern border of both spheres of influence.
 
Serikali ya Tanzania inalijua hili kwa wazi na mapana yake kwamba hatuna haki hata ye tone moja la maji ya Ziwa Malawi.

Serikali haitakiwi kulifanya jambo hili la kisiasa maana kama ni siasa zako utacheza na wananchi wako lakini unaoweza kuwapiga mabomu ya machozi lakini si kwa watu kama Malawi ambao ni Soveregn state subject to international laws.

Kama kweli Tanzania inataka hata tone moja la Ziwa Nyasa, iachane na porojo za kisiasa na i-file lawsuit for the boundary ili mpaka uwe katikati ya maji kama wengine duniani.

Vinginevyo tutapigizana kelele kama wajinga na hakuna litakalotokea. Tutasubiri Rais wa Malawi tunayechekeana naye anayewapiga mabomu wapinzani wake nchini mwake, sisi tunatumia ziwa lile na kudhani kama ni letu.

Kesho wapinzani wa Malawi waliokuwa wanapigwa mabomu ya mchozi wanakamata nchi, na nyinyi mliokuwa ama mnakaa kimya bila kumkemea anaona mnatumia ziwa lake na si lenu. Kwa nini asilie na nyinyi.

Mimi huyu mama wa Malawi namkubali. Inawezekana anawapa fundisho wote waliomkera akiwa mpinzani wa serikali. Unadhani kwa nini alisema hamtaki Omar Bashir kuja mle.

Mwacheni mama yetu awafundishe adabu wote wanaodhani tutafumbia maonevu ya dunia na ndipo mjue muonewaji akikamata power mjue litakalotokea.

Najua kuna watakaonikejeli kuwa sina uzalendo. Hapa si suala la uzalendo. Baba na mama yangu wakifanya ujambazi wa kumdhulumu jirani yangu siwezi kukaa kimya na kuwatetea kwa kinachoitwa uzalendo. Huo ni wizi.

Nendeni Mahakama za Kimataifa kuwashinda wamalawi na msidhani wa kupelekwa mahakamani ni migomo ya madktari na walimu tu.
Wewe haujausoma ule mkataba wa Heligoland treaty, na kama umeusoma basi umeupitia pita tu haukuuelewa, maana unachokisema wewe hapa na kilichoandikwa mule ni mbingu na ardhi...Waziri Membe leo amelifafanua hili vizuri sana na hata hiyo suggestion yako ya sisi kufungua kesi unayoisema ameipendekeza, ila kasema Malawi ni ndgu zetu na jirani zetu na tutalitatua hili kirafiki, kidemokrasia kabla hatujaamua kwenda kwenye mambo hayo ya mahakama na hata kufikia kwenye vita...
 
Ukizitazama ramani kwa upande wa Msumbiji hamna mjadala. Uingereza na Ureno walishatatua hilo tatizo.

Tatizo lililopo kati yetu na Malawi ni kwamba, Heligoland treaty inaonesha himaya ya Ujerumani(Tanzania) itaishia kwenye kingo za maji kwa upande wa Mashariki mwa ziwa Nyasa

NATAMKA RASMI namuunga mkono mchangiaji KICHUGUU, Heligoland treaty ilibainisha mipaka ya German East Africa Company(Tanzania). Haikubainisha mipaka ya British Central Africa

Ila mipaka ya British Central Africa in relation to lake Nyasa imebainishwa kwenye The London Gazette la August 15, 1902........page 5311

Sasa ukitumia Heligoland treaty na hiyo order iliyoko kwenye the London gazette matokeo yake utaona ziwa Nyasa halikumilikishwa kwa colonial power yoyote. Hilo linajidhihirisha pia kwenye article VIII ya Heligoland treaty ambayo inataka matumizi ya mito na maziwa yawe huru(shipping is free on lakes, rivers, canals and their ports for both flags

Kiini cha tatizo hili kwa maoni yangu ni .... Baada ya Uingereza kuishinda Ujerumani kwenye WW1 Tanganyika ikawa chini ya himaya ya Mwingereza hali kadhalika Malawi. Kukawa hakuna tena umuhimu wa suala la huu mpaka. Tofauti na Msumbiji ambayo ilikuwa ni himaya ya Mreno ilibidi mpaka uwekwe mapema. Pia kuzembea kwa serikali zetu baada ya uhuru wa nchi zetu. Nchi za Magharibi zinavyohusudu mafuta hapa vita havita epukika. Mataifa ya kibepari yanaamini WHERE THERE'S WAR THERE'S OPPORTUNITY
rhetorics zilizopo ni kwamba, na wala siyo uzembe kama unavyotaka kujiaminisha, dispute ya mpaka haikupatiwa ufumbuzi kwa kuwa Rais wa kwanza wa Malawi alikuwa anaiunga mkono serikali ya kikaburu ya SA wakati Tanzania ilikuwa kambi ya wapigania uhuru wa ANC dhidi ya serikali hivyo mahusiano hayakuwa mazuri baina yetu
 
Mheshimiwa kigwangalla,

..kuna hansard za bunge la Tanganyika ambapo viongozi wetu walikiri kwamba ziwa lote ni miliki ya Malawi.

..suala hilo halikutatuliwa kwasababu kwa muda wote wote Malawi haikuwahi ku-claim kivitendo kwamba ziwa lote ni miliki yao.

..mahusiano ya Kamuzu na makaburu ni kisingizio tu. baada ya kupewa maelezo hayo kwanini nyinyi kama wabunge hamkuuliza nini kilifanyika mara baada ya Afrika Kusini kuwa huru, na Malawi kujiunga na jumuiya ya SADC ambayo Tanzania ni miongoni mwa nchi waanzilishi.
 
Last edited by a moderator:
rhetorics zilizopo ni kwamba, na wala siyo uzembe kama unavyotaka kujiaminisha, dispute ya mpaka haikupatiwa ufumbuzi kwa kuwa Rais wa kwanza wa Malawi alikuwa anaiunga mkono serikali ya kikaburu ya SA wakati Tanzania ilikuwa kambi ya wapigania uhuru wa ANC dhidi ya serikali hivyo mahusiano hayakuwa mazuri baina yetu

Comment yako imejaa unafiki. Wewe mwenyewe unasema hizo ni rhetorics halafu unanipinga tena????

Kwa wasiojua maana ya rhetoric ni UTUMIAJI WA MANENO MATAMU KUMSHAWISHI MTU
 
Hivi ziwa tanganyika Tz ikatangaza kwamba lote nila tz wa congo na wazambia watafanya nini,watatangaza vita na tanzania au watakaa kimya!naombeni jibu!Unless otherwise ziwa nyasa ni mali ya malawi kwa jina na ziwa tanganyika ni mali ya tanzania kwa majina na mipaka yote inatakiwa kuwa kwenye kingo za hizo ziwa!kama sivyo malawi si chochote na mpaka unatakiwa kuwa katikati!nukta
 
Back
Top Bottom