Consigliere
JF-Expert Member
- Sep 9, 2010
- 12,037
- 24,595
Labda mimi sikuelewa, majadiliano pale siyo ya Tanzania na Malawi! Ni majadiliano ya powers za kikoloni I.e Uingereza na Ujerumani
Na bado tunajiita nchi huru wakati suala la mipaka hatuna uwezo wa kulitatua? Nilidhani mara baada ya uhuru mikataba yote ya aina ile ilitakiwa kuwa reviewed ili kuihamishia nguvu na umiliki wake kwa nchi husika!!!
Kuna legal challenge kubwa hapo na itabidi wakoloni nao (German and British) waitwe katika shauri hili kama mashaihidi muhimu, maana ndiyo walio turithisha huu mkataba, nchi na mipaka.