Helicopter ya Maliasili yadondoka na kuua Kipunguni B - Ukonga Dar Es Salaam

Habari hii haiwezi kututoa katika habari kuu ya kashfa Escrow mpaka kieleweke; HATA SHETANI AUWE WANGAPI KWA AJALI NK !
 
Utakuta ni ya miaka 60 iliyopita walipewa na usssr.. Kwa sababu mvua hakuna wala upepo
 
Duh masikini tumepoteza helicopter iliyonunuliwa kwa pesa za walipa kodi

Pengine na yenyewe ilikuwa ya kusukuma na kushtua kama hii
 
Attachments

  • 1417261104699.jpg
    1417261104699.jpg
    8.8 KB · Views: 1,126
Isije kua mafisadi wameilipua kutuhamisha kwenye mjadala wa escrow,poleni waathirika wote!
 
Poleni sana wafiwa, Ajali imetokea Ukonga maeneo ya Mombasa karibu na Moshi bar.
 
We ----- tu aisee!! usidanganyike na akaunti hizi madha fanta.

Shujaa Hatukani Kwa Mafumbo Na Kiuwoga....Kumbe Unaniogopa Hadi Unanitusi Kimafumbo! Kweli GENTAMYCINE Ninatisha. Madha Fanta Wako Yeye Amebandika Kifuu au? Mimi Langu Ni Moja Tu Na Kubwa Kuliko POPOMA Mkubwa Wewe! Tezi Dume Inakusumbua Kichwani Hivyo Nenda Na Wewe Johns Hopkins Ukatibiwe.
 
Hii itakuwa kati ya zile Bell helicopter mbili alizotoa Billionaire Howard Buffet kwa TANAPA April mwaka huu.

I know this was inevitable lakini not so soon. Hardly 6 months have gone by since these choppers were delivered.
 
Nilishasema nchi hii ni kama panya wa maabara. Hizi helikopta zimeletwa na rafiki zake nyalandu wamarekani kama msaada. Tuliandika kuwa ni chakavu na hazifai. Tukapuuzwa. Nyalandu kwa kuutaka uwaziri akatupuuza. Sasa yametufika. Haya madude ni mabovu. Yamepakwa rangi tu. Poleni wafiwa wote. Nyalandu ni janga jamani. Eleweni tunachosema.
 
Sasa Mkuya ni janga
Muhongo ni janga
Masele ni janga
Werema ni janga
Pinda ni janga
Nyalandu ni janga!

Hata wewe Manyerere Jackton ni janga pia
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom