Heche anawasaliti Tarime mara ya pili?

kuwa na hiace 3 ndo usaliti au ndo unaona utajili huo???
 
Mwaka 2010 Heche na ndg zake walikimbia tarime baada ya kushindwa kura za maoni na kupokea pesa na maelekezo kwa mama kabaka ilikupunguza nguvu ya CHADEMA kwa lugha rahisi ni kwamba mateso ya watu wa Tarime Nyamongo, risasi za kanda maalumu ni usaliti wa Heche na mwera kwa kutokubali kushindwa na kwamba uongozi ni kijiti.

Mimi ni mkurya wa Sirari nasoma UDOM nimefuatilia hali ya Tarime juzi nikaambiwa eti Heche na Ester Matiko wameungana wamenunua ardhi Nyamongo wamepanda migomba ili walipwe na mgodi na kwa sasa Heche wana hiace tatu zina simamiwa na mdogo wake Mseti na Chacha Heche.

Maswali muhimu na yanataka majibu ni kwamba kilio kikubwa kwa wanyamongo ni mgodi sasa kama mtu ambaye anajinasibu kama anaweza kuwasemea ni fisadi na amekwisha lipwa na mgodi atakuwa tena na sauti kuhoji mgodini? Kwa sababu kupanda migomba ili ulipwe ni wizi unapaswa kulipwa vitu vilivyo kuwepo si vya kutega kwa makusudi.

Pili Heche anasema uchaguzi ujao hatishwi eti atakuwa na pesa sana kwanza CHADEMA imekuwa mstari wa mbele kupinga matumizi ya fedha katika uchaguzi sasa heche wana hiace tatu, yeye mwenyewe anajua kwamba hana kazi na wala CHADEMA halimlipi ila ana piga mizinga sana kwa wabunge, ndg yake Chacha Heche hana kazi wala biashara watu wa Tarime nilikuta wana hoji kumbe hawa vijana siasa ni mtaji kwao mara hii magari, majigambo, vijembe mtaani kama wakati wa udiwani hivyo ninapenda kumshauri kaka yangu kuwa asipoteze muda na hoja ya kugombea Tarime wamegundua yeye ni mnafiki na anatafuta namna ya kupata pesa si utetezi na wanapanga kumfanya kama Nyambari kwa sababu wote ni wachumia tumbo!

Mimi nilikua nafanya research za umaskini Tarime tangu mwezi november na nimerudi jumapili tu, vijiji vyote nimepita Maghane, Murito, Kewanja, Nyarwana, weigita, na hata hapo Nyamongo penyewe kwenye kijiji cha Nyangoto, na maeneo mengine mengi kama huko Muliba, luo nk, tena nimekaa hapo na nimejaribu kuchunguza na siasa za hapo nikioainisha na mto Tigite. Hakuna kitu kama hicho unacho kisema. Hivi kuna ubaya gani mtu kununua shamba, Kwa taarifa yako huwezi kununua kiwanja kwenye permit area na licence area. Do you mean mgodi ndo umewauzia? umeongea na Barick wakakwambia wanataka kuomba kuongeza eneo la mgodi kwa kuchukua ardhi ya kijiji? Fanya research usikurupuke

Nilivyomuelewa mleta mada ni huyo Heche kuwa na Hiace tatu baada ya kuingia kwenye siasa. Kwa hiyo mtaji wake kisiasa ni kujichumia mali yeye binafsi (kama ilivyo kwa wanasiasa wote wa Tanzania) na si kuwatumikia wananchi.

Wewe ndiyo aujamwelewa kabisa!!kwenye mada yake amedai kuwa heche anapiga mizinga sana wabunge na chedema (siasa) haimlipi!!hapo mtaji wa kisiasa unatoka wapi??na kama kupiga mizinga hao wabunge kama alivyosema ndiyo kumemwezesha kupata hizo haice basi wabunge wana haki ya kuongezewa posho!!!!,lakini kwa mtu yeyote makini taarifa hii ni ya majungu,kila msitari unapingana na uliotangulia!!
 
Nilivyomuelewa mleta mada ni huyo Heche kuwa na Hiace tatu baada ya kuingia kwenye siasa. Kwa hiyo mtaji wake kisiasa ni kujichumia mali yeye binafsi (kama ilivyo kwa wanasiasa wote wa Tanzania) na si kuwatumikia wananchi.

Wewe uliambiwa mtu akiingia kwenye siasa na asiwe na mali aendelee kubaki maskini? kuna opportunity nyingi kama kukopa bank, pia lazima mtambue kuwa kabla ya siasa Heche alikua mwanafunzi ulitaka afanye nini?
 
halafu tukisema UDOM chuo cha kata mnakuja juu!wewe mleta thread huna sifa ya kujiunga na chuo kikuu rudi sirari ukafuge.
 
Wewe uliambiwa mtu akiingia kwenye siasa na asiwe na mali aendelee kubaki maskini? kuna opportunity nyingi kama kukopa bank, pia lazima mtambue kuwa kabla ya siasa Heche alikua mwanafunzi ulitaka afanye nini?

Hakuna aliyesema hayo, soma vizuri post yangu, nnasema heche ni kama wanasiasa wengine wa Tanzania , siasa ni mtaji wao wa kujitengezea na kujilimbikizia mali. Na hilo halina ubishi. Ni mwana siasa yupi Tanzania ambae hayuko kwenye siasa kwa kujitengenezea maisha mazuri ki binafsi yake?
 
Hakuna majibu sahihi udom tuko makini sana ndio maana nasema nyie mwambie ajirekebishe ila kama mna tetea msicho kijua subiri wana tarime wakasirike.kulipwa na mgodi kwa uongo ni kosa na maeneo wana wadanganya wasio elewa.
 
Huna akili ya kuwa chuo kikuu!!badala ya kujenga hoja unadai subiri wana Tarime wakasirike!!hakuna mtu anayeweza kuchukua eneo la mgodi na kupanda migomba,watu wakisogea tu uwa wanageuzwa mabango ya shabaha,sembuse leo mpaka watu wapande migomba!!na siyo kwamba watu wanatetea wasichokijua ila tunashangaa unavyotoa mada iliyojaa uongo!!jaribu kurudia kuisoma utaona jinsi ulivyoandika vituko,kila msitari unaofuata unapinga uliotangulia!!
 
Aibu sana kwa mwana chuo tena eti chuo kikuu!!kuandika thread ya namna hiyo.
1.nashindwa kujua alifika fika vipi chuo kikuu mtu huyu((labda kwa kuwa amesema anasoma Udom chuo kinachochukua watu wenye alama za chini japo sio wote.)
2.Uandishi wake haukidhi vigezo vya kuonyesha mwandishi ni mtu aliyepita katika ngazi zote za mitihani ya wizara na kufaulu kwa kiwango cha kujiunga na chuo kikuu.hata kama mwandishi atasingizia kua yeye alisoma masomo ya sayansi,ikumbukwe kuwa somo la kiswahili,kiingereza,historia na hata jiografia yanahusisha uandishi wa insha pia.
3.Ukisoma kwa makini utagundua sentensi zake zinakinzana msitari mmoja na mwingine.
4.Uwezo wa kuchambua mambo ni mdogo sana.
NAKUSHAURI UACHE WIVU WA KIJINGA UNAOPELEKEA UONYESHE UWEZO WAKO MDOGO WA KUFIKIRIA NA KUPANGILIA MAMBO.
 
Uchaguzi wa Bavicha unatoa watu roho mpaka leo? Jamani kubalini kushindwa yaishe

Molemo,
Usiameshe mada hizi tuhuma hazina uhusiano na Bavicha, cha msingi Heche aje kujibu hizi tuhuma za kulipwa na mgodi..

Kingine anatakiwa haonyeshe hizo gari tatu kazipataje wakati yeye hana kazi?

Ni hayo tu mkuu wangu.
 
Mwaka 2010 Heche na ndg zake walikimbia tarime baada ya kushindwa kura za maoni na kupokea pesa na maelekezo kwa mama kabaka ilikupunguza nguvu ya CHADEMA kwa lugha rahisi ni kwamba mateso ya watu wa Tarime Nyamongo, risasi za kanda maalumu ni usaliti wa Heche na mwera kwa kutokubali kushindwa na kwamba uongozi ni kijiti.

Mimi ni mkurya wa Sirari nasoma UDOM nimefuatilia hali ya Tarime juzi nikaambiwa eti Heche na Ester Matiko wameungana wamenunua ardhi Nyamongo wamepanda migomba ili walipwe na mgodi na kwa sasa Heche wana hiace tatu zina simamiwa na mdogo wake Mseti na Chacha Heche.

Maswali muhimu na yanataka majibu ni kwamba kilio kikubwa kwa wanyamongo ni mgodi sasa kama mtu ambaye anajinasibu kama anaweza kuwasemea ni fisadi na amekwisha lipwa na mgodi atakuwa tena na sauti kuhoji mgodini? Kwa sababu kupanda migomba ili ulipwe ni wizi unapaswa kulipwa vitu vilivyo kuwepo si vya kutega kwa makusudi.

Pili Heche anasema uchaguzi ujao hatishwi eti atakuwa na pesa sana kwanza CHADEMA imekuwa mstari wa mbele kupinga matumizi ya fedha katika uchaguzi sasa heche wana hiace tatu, yeye mwenyewe anajua kwamba hana kazi na wala CHADEMA halimlipi ila ana piga mizinga sana kwa wabunge, ndg yake Chacha Heche hana kazi wala biashara watu wa Tarime nilikuta wana hoji kumbe hawa vijana siasa ni mtaji kwao mara hii magari, majigambo, vijembe mtaani kama wakati wa udiwani hivyo ninapenda kumshauri kaka yangu kuwa asipoteze muda na hoja ya kugombea Tarime wamegundua yeye ni mnafiki na anatafuta namna ya kupata pesa si utetezi na wanapanga kumfanya kama Nyambari kwa sababu wote ni wachumia tumbo!

peleka umbea wako facebook. kuwa UDOM ndio tishio? Tumia akiri zako c kuleta umbea eti nimeambiawa... Eti kapanda migomba... Unawivu wa kike
 
Back
Top Bottom