Heche anawasaliti Tarime mara ya pili?

Umesema unasoma UDOM eeh!
Unawajua kina Heche na uwezo wa familia yao kifedha?
Sitaki kukudharau au kukupuuzia, nakuthamini na hivyo nakuomba ujifunze zaidi
 
This is the house of great thinkers,what to thnk withn this thread.Kwa kifupi una vielement vya umbea.
 
Your arguments is too low! Yaani unataka kusema kuwa mtu akiwa ha vipanya vitatu ni FISADI?? Give me a break!!!!!!!!
 
Mwaka 2010 Heche na ndg zake walikimbia tarime baada ya kushindwa kura za maoni na kupokea pesa na maelekezo kwa mama kabaka ilikupunguza nguvu ya CHADEMA kwa lugha rahisi ni kwamba mateso ya watu wa Tarime Nyamongo, risasi za kanda maalumu ni usaliti wa Heche na mwera kwa kutokubali kushindwa na kwamba uongozi ni kijiti.

Mimi ni mkurya wa Sirari nasoma UDOM nimefuatilia hali ya Tarime juzi nikaambiwa eti Heche na Ester Matiko wameungana wamenunua ardhi Nyamongo wamepanda migomba ili walipwe na mgodi na kwa sasa Heche wana hiace tatu zina simamiwa na mdogo wake Mseti na Chacha Heche.

Maswali muhimu na yanataka majibu ni kwamba kilio kikubwa kwa wanyamongo ni mgodi sasa kama mtu ambaye anajinasibu kama anaweza kuwasemea ni fisadi na amekwisha lipwa na mgodi atakuwa tena na sauti kuhoji mgodini? Kwa sababu kupanda migomba ili ulipwe ni wizi unapaswa kulipwa vitu vilivyo kuwepo si vya kutega kwa makusudi.

Pili Heche anasema uchaguzi ujao hatishwi eti atakuwa na pesa sana kwanza CHADEMA imekuwa mstari wa mbele kupinga matumizi ya fedha katika uchaguzi sasa heche wana hiace tatu, yeye mwenyewe anajua kwamba hana kazi na wala CHADEMA halimlipi ila ana piga mizinga sana kwa wabunge, ndg yake Chacha Heche hana kazi wala biashara watu wa Tarime nilikuta wana hoji kumbe hawa vijana siasa ni mtaji kwao mara hii magari, majigambo, vijembe mtaani kama wakati wa udiwani hivyo ninapenda kumshauri kaka yangu kuwa asipoteze muda na hoja ya kugombea Tarime wamegundua yeye ni mnafiki na anatafuta namna ya kupata pesa si utetezi na wanapanga kumfanya kama Nyambari kwa sababu wote ni wachumia tumbo!
Acha akili mgando. Wewe unasoma hapo UDOM kutafuta nini? Kila mtu anatafuta pesa. Yeye kumiliki shamba na kulipwa na mgodi tatizo liko wapi? ungeniambia eti kaiba mashamba ya wananchi ningekuelewa, lakini kanunua,it is ok. Nafikiri unakawivu fulani juu ya maendeleo ya heche. Sasa anawakilisha vijana wa Africa kule Australia, au hilo ndilo linalokuuma? Wewe ungana na heche muiondoe CCM.
 
Mwaka 2010 Heche na ndg zake walikimbia tarime baada ya kushindwa kura za maoni na kupokea pesa na maelekezo kwa mama kabaka ilikupunguza nguvu ya CHADEMA kwa lugha rahisi ni kwamba mateso ya watu wa Tarime Nyamongo, risasi za kanda maalumu ni usaliti wa Heche na mwera kwa kutokubali kushindwa na kwamba uongozi ni kijiti.

Mimi ni mkurya wa Sirari nasoma UDOM nimefuatilia hali ya Tarime juzi nikaambiwa eti Heche na Ester Matiko wameungana wamenunua ardhi Nyamongo wamepanda migomba ili walipwe na mgodi na kwa sasa Heche wana hiace tatu zina simamiwa na mdogo wake Mseti na Chacha Heche.

Maswali muhimu na yanataka majibu ni kwamba kilio kikubwa kwa wanyamongo ni mgodi sasa kama mtu ambaye anajinasibu kama anaweza kuwasemea ni fisadi na amekwisha lipwa na mgodi atakuwa tena na sauti kuhoji mgodini? Kwa sababu kupanda migomba ili ulipwe ni wizi unapaswa kulipwa vitu vilivyo kuwepo si vya kutega kwa makusudi.

Pili Heche anasema uchaguzi ujao hatishwi eti atakuwa na pesa sana kwanza CHADEMA imekuwa mstari wa mbele kupinga matumizi ya fedha katika uchaguzi sasa heche wana hiace tatu, yeye mwenyewe anajua kwamba hana kazi na wala CHADEMA halimlipi ila ana piga mizinga sana kwa wabunge, ndg yake Chacha Heche hana kazi wala biashara watu wa Tarime nilikuta wana hoji kumbe hawa vijana siasa ni mtaji kwao mara hii magari, majigambo, vijembe mtaani kama wakati wa udiwani hivyo ninapenda kumshauri kaka yangu kuwa asipoteze muda na hoja ya kugombea Tarime wamegundua yeye ni mnafiki na anatafuta namna ya kupata pesa si utetezi na wanapanga kumfanya kama Nyambari kwa sababu wote ni wachumia tumbo!

Saghughe!!

Pole kaka kwa majungu. Inaonekana wivu tuu unakuumiza huna lolote. nakushauri jipange upya. Vaa buti na kombati uache majungu!!

Mudushi
 
hivi huko UDOM wanafundishwa nn?maana kujieleza tu tatizo ss interview ataweza kweli huyu?scrap mods hebu futa hii thread
 
Huyu anaaibisha kada ya wasomi,una majungu sana tu

anajidhalilisha mwenyewe huyo na akili zake butu ....chuo cha udom unaingia hata ukiwa na 3 ya mwisho so msimlaumu ndo walewale wanaoandika bongo flavour kwenye mtihani
 
Molemo,
Usiameshe mada hizi tuhuma hazina uhusiano na Bavicha, cha msingi Heche aje kujibu hizi tuhuma za kulipwa na mgodi..

Kingine anatakiwa haonyeshe hizo gari tatu kazipataje wakati yeye hana kazi?

Ni hayo tu mkuu wangu.
Haswaaa Heche aje atoe maelezo ili watu tisihangaike. Zitto angekuwa ameishalitolea hili maelezo.
Kuhusu kununua ardhi inawezekana jamaa kanunua eneo ambalo mgodi unataka julichukua kwa kuwalipa watu. Nilivyomuelewa mtoa hoja ni kwamba jamaa kanunua kwa bei ya chini na kupanda migomba akitegesha aje. kulipwa pesa nyingi baada ya kuwa na inside information kwamba mgodi utalichukua hilo eneo. Hizi scheme mbona zipo nyingi tu na watu hutaka kujinufaisha kwa kulipwa na ama serikali au wawekezaji.
 
kha jf imevamiwa,we upo udom au chuo cha nyuki?hizo hiace c 3 zipo 5 bt c za john heche ni za kakake,kwani we unataka nn?umetumwa na nani?we umezaliwa wapi na wakati upi?wa elnino?mamaaa kawalambe bwana zako hao walokutuma miguu na uwaambie wakupe hoja nyingine uje nayo.
 
0713682254 na 0762949282 ndo namba za kamanda mwenye dought amtwangie ili afunguke hapa,huyo kuku kanichefua kwelikweli
 
0713682254 na 0762949282 ndo namba za kamanda mwenye dought amtwangie ili afunguke hapa,huyo kuku kanichefua kwelikweli

wakuu nimepata datta za huyo dogo,nimeambiwa na rafiki zake kuwa yupo kundi la peter zakaria na huyo zakaria ndo alobwagwa na kamanda kipindi kile kwenye udiwani
 
Majungu.com.
Hapo udom unapoteza muda tu! Rudi kwenu utafute kingine cha kufanya!
You dont resemble like "msomi!"
 
Bila kuwaondoa Heche na Waitara katika siasa za CHADEMA Tarime jimbo hilo bora kuachana nalo, liachwe mikononi mwa mafisadi kwani wakurya hawa wamekuwa wanafiki kuliko watani zangu wazaramo
 
Hakuna majibu sahihi udom tuko makini sana ndio maana nasema nyie mwambie ajirekebishe ila kama mna tetea msicho kijua subiri wana tarime wakasirike.kulipwa na mgodi kwa uongo ni kosa na maeneo wana wadanganya wasio elewa.

Dogo acha vitisho, Tarime naijua vizuri maana nimefanya kazi nyingi za research, na kwa taarifa yako mimi ni mmoja ya watu ambao huwa tunafanya environmental impact assesment pale. Unadhani hasira zinakuja kama mvua? Au unadhani watarime ni miungu?
 
Huyo jamaa mshamba tu... Na hapo UDOM sijui anafanya nini..
Bora aache kusoma...
 
Back
Top Bottom