vanmedy
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 2,698
- 1,395
Ni tofauti na vyupi vya sasa. Vya zamani ulikuwa unavivua ndo uone tak.o lakini vya sasa unapanua tak.o ndo unaona chup.i. LOLEST!!
ndai like mzeiyaa
Ni tofauti na vyupi vya sasa. Vya zamani ulikuwa unavivua ndo uone tak.o lakini vya sasa unapanua tak.o ndo unaona chup.i. LOLEST!!
Acha tu mwanawane,
Afu unakumbuka mchakamchaka ule wa Alfajiri ya saa 10 na nusu?
Sasa Usiombe siku kupikwe nyama,
mpaka wagonjwa wenye bed rest wanakuja Dinning Room.
Afu sasa Pata picha Hyo nyama iliwe usiku,
M-babe tu ndio unatia mkono kwenye Dish,kama wewe mayaimayai unalala na njaa siku hyo.
Halafu nimekumbuka hii,kuna mabinti walitipia pilau siku ya national egzam ya std 7...mama yangu sikuwahi na sijawahi kula pilau tamu kama ile...chezeya watoto wa Tanga
Mwisho wa siku ukafeli...
hebu nikumbushe moja mwanangu, maana sijakusikia siku nyingi sana ukiimbaduh, me nlikuwa naupenda mchakamchaka cos nilikuwa kinara wa kuimbisha nyimbo za mchakamchaka!
hebu nikumbushe moja mwanangu, maana sijakusikia siku nyingi sana ukiimba
za asububi wana chit chat,
hebu tujikumbushe enzi za shule ya msingi na sekondari. kuna waliokuwa
- head boy / girl
- monitor / montress
- bibi/bwana afya
- dom leader
- wanariadha
- wapiga ngoma/filimbi
- wacheza ngoma za utamaduni
- wacheza sarakasi
- waimba kwaya
- wacheza mpira (netball / football)
na michezo mingine mingi. je we ulikuwa nani?
dad hilo tu, .shaka ondoa.
"idd amini akifa akifa mimi siwezi kulia kulia, nitamtupa kagera kagera awe chakula cha mamba cha mamba"
enjoy dad!!!!
:biggrin1: Aisee mi nilikuaga prefect na monitor na mpiga kengele wa kubadilisha vipindi...ilikua raha aisee...maana nilikua naruhusiwa kutoka darasani dakika tano kabla ya kipindi kuisha kwenda kupiga kengele na vile vipindi vilivyokua vinaboa yaani ndio hata dakika 10 kabla nilikua natoka darasani..those were the best days
Muongezee na hizi
1. Jua lile literemke mama.... aiya iya iya maama
2. wanainama wanainuka. wanaona haya aooo
3. chama chetu cha mapinduzi chajenga nchi (enzi zetu Rais Mwinyi)
4. Vumilia kidooogo ooooh vumilia kidogo ..........
5. Mchamchaka chinja... aliselema .... alija
6. Sisiemu ninavyokupenda.....
Hahahaha! Yaani upige kelele wakati ndo kwenye mautamu? Hiyo kitu ukiinyonya lazima demu apagawe. Ngoja nisepe!mpaka sasa sijaona mtu mwenye sifa ya kuwa kijobu...
Inamaana hapakuwa na watoro kati yenu mliochangia?
We Asprin uliekuwa unachungulia watoto wa kike kwa kioo mstarini je sasa hivi unawachungulia vp?
Au ndio nyie mnaoWeka mawe kwenye madirisha ya gesti kisha watu wakianza kunyonyana ''express your self'' mnapiga kelele ''aaaah uchafu huo''
teh teh, meupenda namba 3 na 6 lol!!!!!!
Halafu nimekumbuka hii,kuna mabinti walitupikia pilau siku ya national egzam ya std 7...mama yangu sikuwahi na sijawahi kula pilau tamu kama ile...chezeya watoto wa Tanga
ahsante kwa kutupaisha. Tanga twaongoza
bado waishi Tanga weye...nimepakumbuka sana TA...siku Mungu akipenda nitaru mitaa yote ya huko Majani Mapana, kwa minchi, Kisosora, Mwakizalo, Duga, Chumbageni lol!