hebu tujikumbushe enzi za primary na secondary!

charminglady leo umekuwa mkimya sana kipenzi barafu wa moyo wangu, nimepaki gari hapa chini ya ofisi yenu naona uvivu kuja juu huko...si unajua mi muoga wa elevetor. ila uyu mdada wa kudai ushuru wa maegesho kaniboa eti anaomba nimtoe buku baada ya kuona nina free pass ya mwaka mzima hahahhahaha. nakusubiri

pole huz, was busy today. c wajua tena mambo ya mwsh wa mwez. mareport kibao. hyo dada we mchunie. ka vp uwe unaingia basement akome!
 
Last edited by a moderator:
nakumbumbu nilikua naiba sana daftari za wenzangu nafuta jina hadi daftari linachanika na biki nikiiba lazima niing'ateng'ate hadi ipoteze mwonekano wa awali.
 
2ligombania dish la nyama,chuz lilitumwagkia kuanzia kchwan mpaka kwenye viatu,2likua kma sie ndo tumechemshwa!
 
Muongezee na hizi

1. Jua lile literemke mama.... aiya iya iya maama
2. wanainama wanainuka. wanaona haya aooo
3. chama chetu cha mapinduzi chajenga nchi (enzi zetu Rais Mwinyi)
4. Vumilia kidooogo ooooh vumilia kidogo ..........
5. Mchamchaka chinja... aliselema .... alija
6. Sisiemu ninavyokupenda.....
7. Kamwambie Banda, ndevu zake Fagio! Enzi hizo kila kitu cha Banda na Amini kilikuwa ni KIBAYA SANA! Nyerere huyo.
 
primary mi nilikuwa bingwa wa kutoa soksi tutengenezee mpira wa rede!nikirudi home soksi chafuuuu!hicho kipondo chake sasa!af baada ya siku mbili nimeshasahau!
o'level sikuwa mtundu kiivyo since nilikuwa na bf so nikawa mwoga flani hivi najistukia
a'level weh!full kugomea walimu kufanya usafi,nakumbuka kuna siku nimlitaka kumpiga mwalimu ah!taarifa ilivofika hme babangu alifunga safari kuja shuleni,nilipewa kipondo heavy!mbele ya assembly,
kuna siku nilikutwa napika bwenini na pasi ya mkaa,nikapewa hatua za kulima
siku nyingine tukammwagia dada mmoja hivi godoro lake maji,lililowa chapachapa!tukapigwa suspaaa kama 7 hivi!maisha ya shule bwana!dah!nikiwaangalia hawa wanafunzi wangu humu darasani wanavojifanya manunda nacheka sana!hawanijui hawa!
 
7. Kamwambie Banda, ndevu zake Fagio! Enzi hizo kila kitu cha Banda na Amini kilikuwa ni KIBAYA SANA! Nyerere huyo.

Af kulikuwa na hii,mshenzi sana amini,kafikiria jamboa kashindwa kaona achukue kagera ambayo ni mali ya tanzania*2
lile lile lile,be na lile lile lilembe lilelimbe na lile lile lilembeleeeeeeee!
 
basi olevel nlisoma shule ya dini. kuna mkaka na mdada walikamatwa wakiwa katika mazingira hatarishi. wakaambiwa wawataje na wengne wanaojihusisha na mapenz shulen. mdada akataja wasichana 10 na mkaka atataja wavulana 10.kwa nyakati tofaut watajwa wakaambiwa nao wataje mapartner wao.katika kujata ikaonekana kura nying zimemuangukia belinda.bdae wakaitwa wote assembly wakaulizwa kwann kura zimemuangukia belinda?wakajibu ni mzuri. dah belinda aliona aibu kweli. . . mwisho wa siku akahama shule kabisa!
 
Nakumbuka Assembly kulikuwa na Mwembe dodo ambako HeadMistress hupenda kusimama.
Siku hyo HeadMistress alinitibua kishenzi,
nilichofanya,nilikwenda dukani nikanunua mafuta ya taa ya lita 5,nikakusanya majani makavu nikapanda nayo juu ya mwembe,nikamwagia yale majani makavu mafuta pamoja na sehemu ya juu ya mwembe kisha nikashuka,hyo ilikuwa saa 11 alfajiri.
Ilipofika saa 11 na nusu kama kawa Headmistress akaja pale chini ya mwembe kuhesabisha namba za mchakamchaka,
basi wakati watu wanakimbizana kwenda Assembly me nikatafuta tambara nikaweka jiwe katikati, nikaliwasha moto kisha nikazunguka nyuma ya Ofisi nikalirusha lile tambara juu ya ule mwembe.
Pata picha kilichotokea.
Ilikuwa ni hekaheka maana nilikosea stepu kama pembeni ya ule mwembe kulikuwa na Transfoma,si likashika moto,
Shukuru Mungu halikulipuka.
Ulifanyika msako mkali wa Siku 5 ndo nikaja kugundulika,
Adhabu niliyopewa Sikuisahau mpaka Namaliza Form 4.
Ila sikukoma niliendeleza utundu kama kawa.
 
Madame B hakika ulikuwa mtambo, cjui nikuite mtambo wa nini. vp kuna mwanao ambae ni kachukua utundu wako?
 
Last edited by a moderator:
Madame B hakika ulikuwa mtambo, cjui nikuite mtambo wa nini. vp kuna mwanao ambae ni kachukua utundu wako?

Acha tu CL,nina mtoto mmoja tu wa kiume ana 5yrs,
Lkn utundu wake siwezi kuuelezea,
Yote tisa,kumi nina paka wangu mweupe hapa home basi amechorwa chorwa mwili mzima na MakaPeni.
Yani acha tu,ila nashukuru Mungu pamoja na utundu wake wote darasani anaongoza.
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahahahaha
wangu hapa ulikuwa umepinda zaidi ya upinde!

Nakumbuka Assembly kulikuwa na Mwembe dodo ambako HeadMistress hupenda kusimama.
Siku hyo HeadMistress alinitibua kishenzi,
nilichofanya,nilikwenda dukani nikanunua mafuta ya taa ya lita 5,nikakusanya majani makavu nikapanda nayo juu ya mwembe,nikamwagia yale majani makavu mafuta pamoja na sehemu ya juu ya mwembe kisha nikashuka,hyo ilikuwa saa 11 alfajiri.
Ilipofika saa 11 na nusu kama kawa Headmistress akaja pale chini ya mwembe kuhesabisha namba za mchakamchaka,
basi wakati watu wanakimbizana kwenda Assembly me nikatafuta tambara nikaweka jiwe katikati, nikaliwasha moto kisha nikazunguka nyuma ya Ofisi nikalirusha lile tambara juu ya ule mwembe.
Pata picha kilichotokea.
Ilikuwa ni hekaheka maana nilikosea stepu kama pembeni ya ule mwembe kulikuwa na Transfoma,si likashika moto,
Shukuru Mungu halikulipuka.
Ulifanyika msako mkali wa Siku 5 ndo nikaja kugundulika,
Adhabu niliyopewa Sikuisahau mpaka Namaliza Form 4.
Ila sikukoma niliendeleza utundu kama kawa.
 
Kweli kabisa!
Umeniacha hoi sana wangu!
Sipati picha! Wee mtundu sana!
Lazima ulikuwa unapigana shule!

Yani wangu,
nataka nikuthibitishie kuwa Kuwa nami si kwa Kubahatisha.
Ni Mungu amependa.
 
Back
Top Bottom