hahahahahaaaa!!mi sioni kitambi hapa au ni kitambi kipi unakizungumzia? Cha mbele au cha nyuma?
Linganisha umbile lake na mshahara wake. Jamaa anaonekana ana AFYA, hana njaa. Halafu ukiuliza mshahara wake labda laki mbili tu, na anasomesha watoto, ana nyumba ndogo, je pesa anapata wapi? RUSHWA TUPU!