Mh! huyu alipitia depo kweli??
alipitia depo tena kwa sana tu mkuu, si unaona ana cheo cha "V" 3 tayari ? hongera zake kwa kitambi mwaya
mi sioni kitambi hapa au ni kitambi kipi unakizungumzia? Cha mbele au cha nyuma?
hashycool said:ana ndombolo huyo!Duh! Yani wewe umeona ndombolo tu!
mi sioni kitambi hapa au ni kitambi kipi unakizungumzia? Cha mbele au cha nyuma?
Linganisha umbile lake na mshahara wake. Jamaa anaonekana ana AFYA, hana njaa. Halafu ukiuliza mshahara wake labda laki mbili tu, na anasomesha watoto, ana nyumba ndogo, je pesa anapata wapi? RUSHWA TUPU!
Duuuuu hivi afya ni nn? Kama hiyo can be termed as being healthy we Tanzanians still have a long way to go!