Songa na Afande Sele

Alichomaanisha ni hiko hiko, nami ndivyo nilivyomuelewa ya kuwa Hashim Dogo anastahili ufalme kwa yale aliyoyafanya kwenye game

Sasa jiulize mwenyewe kati ya hao wawili nani ana impact katika mziki wetu

Jibu unalo

Kuna muda unajiuliza hivi ni kufosi vina au ni mtazamo tu??

Kwa kuwa ni mtazamo na kila mtu anao wake, basi yupo sahihi kwa upande wake.
 
z

Ngoja tusubiri maoni mengine. simpo tu😄
 
Songa yuko sahihi

Lile shindano la mfalme wa rymes ambalo afande sele alishinda, Waandaji walikosea kulipa jina

Ukiangalia kipindi kile wimbo wa darubini kali wa afande sele ndo ulikua hit song

Lakini tukija kwenye uhalisia kama walioandaa shindano walilenga kutafuta mkali wa rymes ....Hashim dogo mwendawazimu ni fundi sana wa kupanga vina ila ni undeground MC hakupata airtime main stream
 
Oooh shukrani mdau
 
"Tunasonga Kwa mwendo wa farasi ama kinyonga tunasonga"
Visasi maasi yanatuzonga tunasonga"
Vingapi unajua au vingapi uvijui
Adui ambaya kushinda wote ni yule Ambae humtambui,"
HASHIM mtu Atari sana
Uandishi wake mpaka Leo ni WA ujuzi sana
 
Kwa lugha rahisi songa alitufahamisha kuwa Afande sele hakustahili kupewa ufalme wa rymes ,coz kuna wataalamu wa kupanga vina ila hawakubahatika kupewa sikio mmoja wapo ndo huyo Hashimu dogo ....Jamaa ana balaa sana
 
"Wabongo acheni nyodo, wote mnakula hongo"

Long live Hashim Dogo 'Mwendawazimu'. 😎

-Kaveli-
 
Hashim Dogo sijawahi kusikia Ngoma yake hata moja. Japo najua alikua member wa Kwanza unit na Ngoma pekee ya Kwanza unit nayoijua ni Ile "msafiri" sasa ni ngumu kusema hashimu dogo kwenye upande wa lyrics alikua mnoma kiasi gani Hadi bwana songa amtunuku ufalme wa rymes... Anyway ngoja wakongwe zaidi waje
 
Sidhani kama Hashim Dogo alikua Kwanza Unit
 
Hashimu dogo anastahili sifa kwa yale aliyofanya kwenye game na watu wachache saana ndio wanamjua, ni wale wapenzi wa hip hop haswaa.

Ila afande kuna mengi kayafanya.
So kwa mtazamo wa songa ni sawa.

"Ni mtazamo tu, msikasirike washikaji haya ni mawazo tu"
mtazamo by afande sele.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom