HD Master 3G

mayenga

JF-Expert Member
Sep 6, 2009
4,118
1,966
Wakuu,

Nasikia kitu hiyo ukiwa nayo huna haja ya kuwa hata na DSTV.Nasikia inakamata machannel kibao na inatumia vocha ya sh 5000 kwa mwezi.Nimeambiwa bei yake ni Tsh 300,000,kazi yake ni kama kingamuzi cha kawaida tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom