Haya ya UDOM yanaudhi sana!

mnyalutanana

Member
Nov 3, 2012
55
18
Tar 17/11/2012 tulifanya interview pale UDOM ya assistant internal auditor, kulikuwa na nafasi nane, lakin kwenye shortlist wametoa jina la mtu mmoja tu,Kama kulikuwa na nafasi moja wangetuambia kwenye tangazo la nafasi ya kazi au wasinge toshorlist kabisa ili watu tusiunguze nauli zetu. kwa kweli inakera sana.
 
Walikuwa wanahitajika 8 kweli, lkn hao 7 ni watoto/jamaa wa vigogo na wahadhiri wenzao, umesahau ya BOT? Pole ndg.
 
Back
Top Bottom