Mazindu Msambule
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 7,509
- 6,863
Mbona haya maneno sio ya mwisho ya mwalimiu? Anyway kwa kukumbusha tu, hi ilitokea mara baada ya Wabunge waliunda kundi la G55 kuiweka hi maada bungeni, kiukweli ndicho kilicho gharimu ndoto ya mzee Malecela ya kua rais wa Tanzania, cause baba yako aliisimamia kama kiongozi wa serikali bungeni.
Anyway, back to the topic, mwalimu pia alikufa huku anasikitika jinsi chama chake kilivyo simamia uuwaji wa azimio la Arusha, aliwahi kusikitika pia uuzwaji wa bank ya taifa ya biashara NBC, so muwe mnaweka na hizi kumbukumbu pia.