Haya ndio Maneno ya Mwisho ya Baba wa Taifa Hili Mwalimu Nyerere Kuhusu Muungano!!

Mbona haya maneno sio ya mwisho ya mwalimiu? Anyway kwa kukumbusha tu, hi ilitokea mara baada ya Wabunge waliunda kundi la G55 kuiweka hi maada bungeni, kiukweli ndicho kilicho gharimu ndoto ya mzee Malecela ya kua rais wa Tanzania, cause baba yako aliisimamia kama kiongozi wa serikali bungeni.

Anyway, back to the topic, mwalimu pia alikufa huku anasikitika jinsi chama chake kilivyo simamia uuwaji wa azimio la Arusha, aliwahi kusikitika pia uuzwaji wa bank ya taifa ya biashara NBC, so muwe mnaweka na hizi kumbukumbu pia.
 
- "Serikali ya Tatu itategemea michango toka Serikali mbili, kuna uwezekano wa Serikali ya Tatu siku moja kukosa pesa za kujiiendesha kwa vile haitakuwa na Rasilimali, hata tume ya Rasimu imeshindwa kusema Serikali ya Tatu itatoa wapi pesa za kujiendesha" - BY JK

Le Mutuz

Hapo Jk nimemuelewa vizur sana na nakubaliana nae kabsa.....lakini anaposema tuwe na nchi 2 serikali 2 ambayo ni kinyume kabsa na mfumo ulioachwa na waasisi, ccm inatoa wapi muundo huu
 
- Unajua sometimes ukinyamaza unaweza kuonekana una akili sana kuliko kujivua nguo namna hii, sasa unapingana na nani hapa Mwalimu au mwenyewe maana maneno ni ya Mwalimu, yaani hawa Great Thinkers wengine kweli ni shidaaa!!


Le Mutuz
Nikae kimya wakati unakunya sebuleni?
Nikubaliane na pumba unazotaka kutuaminisha wewe kubwa jinga?
Angalia sana, huwa sipendi pumba!!!!!!! mwiko! grow up you popompo
 
- Mkuu hebu rudia tena unasema nini hasa? Wapi umeshindwa kuyaelewa haya maneno mbona yapo very clear na to the point, au?

Le Mutuz

Swali ameuliza kwanini mnachukua nukuu za mwalimu zinazoburudisha nyoyo zenu tu? Wale maadui aliowataja Mwalimu vipi, mmeshamuua hata mmoja?
 
- Mkuu punguza hasira maneno ya Mwalimu hapa mimi sijasema kitu, kama unataka pingana na maneno ya Mwalimu Baba wa Taifa kama alivyofanya Warioba, usinilaumu mimi hapa sijasema anything punguza hasira haya sio maneno yangu kaka ni ya Mwalimu!1

Le Mutuz

Akili za kuambiwa?
 
- Kaka punguza hasira haya maneno sio yangu sasa pingana basi na Muasisi wa Muungano aliyesema sio mimi ndugu yangu, vipi maneno yanawasuta haya ni mazito I know, ha! ha! ha!

Le Mutuz

Hehehehe Le Mutuuuuzz, vipi na wewe unataka kwenda kugombea Mtera nini 2015? Naona unajitahidi, lakini ujue huna chako kwenye CCM ya Lowassa
 
Kitendo cha zanzibar kuwa zanzibar na tanganyika kuwa tanzania ndio kimezaa kero kubwa ya muungano maana ardhi ya znz ni ya wazanzibar na ya watanganyika ni ya Tanzania.
 
Kweli hapa Karume anaonekana kuwa mjanja kuliko Mzee wetu.
Mie nilikuwa nashindwa elewa how come wakuja awe mjanja kuliko Mswahili?
For that case sie tulidhani tuliwala king wazenj kumbe wao wametula king.
 
Kitendo cha zanzibar kuwa zanzibar na tanganyika kuwa tanzania ndio kimezaa kero kubwa ya muungano maana ardhi ya znz ni ya wazanzibar na ya watanganyika ni ya Tanzania.

tpmazembe nakuunga mkono 100%.
Na hii inanikumbusha hadithi ya mfalme Sauli alipoambia na Mungu akauwe kila mtu katika kataifa fulani kadogo yeye akawaacha baadhi na mpaka leo inaaminika ndo hako kataifa kanakosumbua middle east.
 
wamegawana mpaka vitambulisho vya uzanzibar kisa wanajua tu watanganyika wote huko ni wapangaji.hapa kweli nyerere alitokota.
 
Nyerere alisahau kwamba taifa linakuwa na dunia inazidi kuendelea kuna watu wanajikuta 10 to 20 yrs znz bila kupenda ni kazi tu imempeleka, eti utaratibu lazima akae miaka 10 ndio atambulike maana ingine apange miaka 10 huu ni utumwa. sasa hawa mapolisi tunawapeleka huko si tunawatesa bure?hao watu wa hoteli wanaoenda huko vijana na kujikuta kazi zinawaweka miaka 20 au 30 si utumwa huo? angali angeweza pata pango lake kwa mshahara wake ndani ya miaka 2 ikawa hata urithi kwa wanawe.Nyerere kwenye hili kapotezwa.
 
wallahi hakuna jipya /bar! Zanzibar kunani? Mimi natamani hako kamuungano kavunjikefasta, tuanze kuijenga Tanganyika yetu. Zanzibar ndo walioturudisha nyumakimaendeleo, walikuwa wanapata umeme bure, budget ya bwerere toka Tanganyika.Kuna chanzo gani cha mapato Zanzibar tunayoifaidi?

 
Back
Top Bottom