Haya mabadiliko ninayaona peke yangu ama nanyi wengine mnayaona?

Mtu akifunga suruali kwa kamba ya kiatu, wewe unaathirika vipi mkuu?

Ni kweli kabisa umemhukumu kwa kuangalia kitu anachotumia kufungia suruali badala ya kuangalia output ya kazi anayoifanya?
 
Punguza ukali wa maneno basi maana mtandao Kijiji, sikutishi Bali nakuelekeza na ukinielewa itapendeza 🙏🙏
Kwamba tuwapongeze wakivaa kata k...🤨 siku sijazo sizitavaliwa chini ya goti...🤔
 
Kila ninapo pita sehem kubwa ya vijana suruali haziwatoshi/zinaanguka. Na vijana wengi wana vyuoni suruali haziwatoshi/zimekua fupi miguuni hata kama ametoka kwa fundi kuishona jana.

Kuna siku niliiona pale Pestana Dodoma majamaa wameshiba na miili imejengeka vyema, wamevaa vipens vifupi hadi juu ya mapaja na vimebana maungo yao hadi maeneo ya kukalia...

Kuna mmoja juzi katoka huko mkoani safi kaingia mjini namuona amevaa vizuri tu, siku ya tatu suruali hazimtoshi zinaanguka tu kiunoni..

Kuna mmoja amekuja juzi akapewa kibarua hapa akapiga kazi safi akachoka kavua shati lake kabaki na suruali kafunga mkanda wake vizuri tu, nilicho kiona leo baada ya kuvua shati eti kafunga kamba ya viatu badala ya mkanda....
Nimemtimulia mbali na kazi hakuna....

Yaani awamu hii imekua na vijana wa hovyo sana....
Mambo ya mjini jaman
 
Punguza ukali wa maneno basi maana mtandao Kijiji, sikutishi Bali nakuelekeza na ukinielewa itapendeza
Asee hamna kitu kinanikera kisuruali njiwa na kimebana Kwa chini halafu hawavai socks such a foolish fashion.. takataka uchafu..fesheni nyingine ziacheni zilivyo jameni...huna Hela ,huna chochote zingine ukivaa Zina shout umasikini wako hasa hii ya kisuruali njiwa bila socks ina watu wake mie nimewaza tu Kwa sauti sijasema bhana
 
Haya mambo sio Kwa sisi vijana hata watu wazima yapo....yaan mpaka nawazaga akierect inakuaje😁
 
Vikaptula haviwapendezi kabisa basi tu hawajui, ndo maana najipendea zangu wazee tu hawa kina chekibob hapana ni aibu hata kuwatambulisha leo avae kata k, kesho kiboksa keshokutwa imechanwa mpk kwenye pumbu mfyuuuuu,

2020 ktk safari nilikutana na boyfriend wa dogo wangu mmoja hivi akiwa na mdogo wake walikuwa wamevaa hivyo vikaptula😳nilifadhaika sana
 
Asee hamna kitu kinanikera kisuruali njiwa na kimebana Kwa chini halafu hawavai socks such a foolish fashion.. takataka uchafu..fesheni nyingine ziacheni zilivyo jameni...huna Hela ,huna chochote zingine ukivaa Zina shout umasikini wako hasa hii ya kisuruali njiwa bila socks ina watu wake mie nimewaza tu Kwa sauti sijasema bhana

 

Similar Discussions

Back
Top Bottom