Haya mabadiliko ninayaona peke yangu ama nanyi wengine mnayaona?

Nikweli mkuu, hapa kuna wazazi/walezi hawaku timiza wajibu wao. Pia wapo vijana wanaiga kwa kudhania wapo sahihi wanapo acha maungo yao ya siri kwenye hadhira.
Wewe ni Mzee ongea ukweli kuhusu hili mtu mkutane Leo Leo halafu Leo Tena uende nyumbani Kwa huyo mtu ni sawa kweli??😰
 
Kila ninapo pita sehem kubwa ya vijana suruali haziwatoshi/zinaanguka. Na vijana wengi wana vyuoni suruali haziwatoshi/zimekua fupi miguuni hata kama ametoka kwa fundi kuishona jana.

Yaani awamu hii imekua na vijana wa hovyo sana.
Halafu kaacha boxer chafuuu nje...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom