Haya mabadiliko ninayaona peke yangu ama nanyi wengine mnayaona?

kwan tabia ndo mavaziii???
Wee mzee muda wako umepitaa, waache watoto zako watambeee. Lol
Hapana mkuu siwezi kukubali watoto wangu hata wa wenzangu wafanane na tabiazako aiseeee......Shindwa🤥
 
Kila ninapo pita sehem kubwa ya vijana suruali haziwatoshi/zinaanguka. Na vijana wengi wana vyuoni suruali haziwatoshi/zimekua fupi miguuni hata kama ametoka kwa fundi kuishona jana.

Yaani awamu hii imekua na vijana wa hovyo sana.
Wewe umejizeekea waache vijana wateseke kwa kupandisha misuruali iliyotoboka😂
 
halafu kuna hiitabia ya hovyo ya baazi ya wazee kutongoza hovyo mtaani na hata humu janvini wapo

usishangae hata humu kwenye hii thred yaamaadili ya vijana kuna mzee kashatongoza hazarani.naukizingatia ashaoa na wajukuu anao

Kazi kuponda vijana ila wao niwahovyo kuzidi hao vijana

imagin lizee kutwa linashinda mtandaoni miaka karibia kumi kilasiku lazima liingie huku😅

halafu linajiona Lina maadili 🖕

hivi wazee wazamani walifanya ujinga huu miaka yote unashinda mitandaoni?Tena mzee? unaakili kweli wewe?

kazikutongozana tuu humu na mishangazi wangine wanarubuni mabinti wadogo humu maamae zn
miaka kumi name mitano uko mtandaoni tuu unatafuta Nini?hujui kifo kinakukaribia?

shenzi

binafsi nikifikisha miaka 26 naachana na mitandao.coz nitakuwa Nisha jifunza vya kutosha Sasa nina 23

vijana tuwafukuzeni wazee wasishinde mitandaoni.hawandio wameifikisha hii nchi ikawa hivi kwa uvivu wao na kupenda ngono na unafiki na wivu

tokeniiii mitandaoni many.u nyie
 
Kila ninapo pita sehem kubwa ya vijana suruali haziwatoshi/zinaanguka. Na vijana wengi wana vyuoni suruali haziwatoshi/zimekua fupi miguuni hata kama ametoka kwa fundi kuishona jana.

Yaani awamu hii imekua na vijana wa hovyo sana.
Ndiyo zile takwimu za wanaopakuliwa japo wao wanasingizia wauzaji na washonaji
 
Kwanza wakati nyie mnavaa mabwanga juu yanabana makalio chini mapama mbona hatukuongea, kipindi mnafuga nywele kichwani wanaume zinakua kama wigi kuna mtu aliwauliza, kila wakati na mambo yake we yaache yatapita
 
Unaweza kumtoa Alikiba hapo kwenye huo Mfano mbaya
Sawa.
7ADA2843-D802-419F-AFB3-1E765B8F8544.jpeg
 
Vipensi na suruali za kuchanika siwezi kuvaa ila haimaanishi nitamuhukumu sana mtu anaevivaa ili nijione mkamilifu au nina maadili sanaaa.
Kwa umri huu najua kuna watu tunawaona waovu au hawana maadili lakini wana roho za kibinadamu sanaa na kuna hawa waovu, wachafu na wana roho mbaya ila wamezificha kwenye umaridadi na unyenyekevu fake
 
Kila ninapo pita sehem kubwa ya vijana suruali haziwatoshi/zinaanguka. Na vijana wengi wana vyuoni suruali haziwatoshi/zimekua fupi miguuni hata kama ametoka kwa fundi kuishona jana.

Yaani awamu hii imekua na vijana wa hovyo sana.
Kwa upumabvu huo ni bora usingezaliwa. Hivi kumbe kuna watu mazwazwa km wewe hapa duniani?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom