HAYA MA-T-shirts na maneno duh...

Yeap,.hiyo ndo fool busy sasa...cz atakuwa busy kusoma nyuma na kurudi tena mbele...akixoma mbele anarudi kusoma t-shirt nyuma,.kama yuko timamu lazima afyonze then asepe
 
hapo kwenye blue zinavaliwa sana huku Yaeda....tena shurti na picha ya dung beetle akisukuma huo mzigo.......
gabon_2043.JPG
Hahahahaaaaa ushahidi wa kusukuma ding'a
 
I wish these were brains. Kavaa mdada then kamshale kanaonyeshea kwenye maziwa aka cowbell mtindi
 
my three years daughter aliwahi kuletewa t-shirts imeandikwa: IF YOU THINK I'M CUTE, YOU SHOULD SEE MY MOM
 
Back
Top Bottom