jamani hebu tuongee kuhusu hawa viongezi wetu wa kitanzania, vijana wa simba leo wameikung'uta mtibwa sugar 4_ 0,huku wakiinyesha soka la hali ya juu! Hivi kuna ulazima wa viongoz kama hawa kuendeleza ujuha wa kung'aninia wachezaji wa nje huku wakiacha vipaji kama hivi vikipotea!! Karibun tuzungumzie hili.