Hawa watatinga Bungeni baada ya Uchaguzi Mkuu October 2015

Huyu jamaa amepiga harakat sana na ana uhakika atachukua!

Tuwe wa kweli kabisa leo ccm inalia pale mwanga kwa juhudi za chadema chini ya kileo kutaka kuwakomboa wanamwanga. Hakuna wa kumzuia kileo licha ya hila ambazo zimeanzwa kutengenezwa juu yake.

Kwasasa hela inatembea mwanga mbaya kuwagawa viongozi wa cdm ili ccm ipone, kwaninavyo mjua kileo ccm inajidanganya na timu yake maana inazidi kumjenga na kumuimarisha.
 
Ukweli mnaujua hamuwezi kushindana na Kileo Pale Mwanga, hakuna wa kumzuia kileo kushinda lile jimbo huwo ndiyo ukweli wenyewe. Mnapiga kelele hapa kamanda yupo kazini.
Kileo hawezi kushinda Mwanga kwa vyevyote vile .lile ni kati ya majimbo magumu zaidi kwa mkoa wa Kilimanjaro wapo watu hata wakiwa Chadema wanaweza kushinda ila si watu wa aina ya Kileo. Labda apate washauri wazuri wanaoifahamu Mwanga abadili mtazamo wake labda anaweza kuleta ushindani.
 
Nyie ndiyo wachawi wa maendeleo, hamuwezi kamwe kumzuia kileo kwa kelele zenu za kupayuka payuka.
Naamin unaelewa ukweli ila unaleta ushabiki mi nadhani kama unamkubali sana Kileo ujaribu kumshaur mda bado upo anaweza kubadili itikadi zake akashinda. Mwanga huwez kushinda kwa kuendesha siasa kama za Arusha ,Iringa au Mbeya alafu ukashinda. Time will tell
 
Ni kweli mkuu unayoyasema lakin hata Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Matunda yake Yalionekana na ni Dalili tosha za Ukombozi kwa Wan Mwanga!
 
Zitto kabwe_kigoma mini
Selukamba_kigoma kaskazni
Nape nnauye_ubungo
Mwakalebela_iringa
 
Kwa Maoni yangu nazan hawa Watatinga Bungeni Baada ya Uchaguzi wa October mwaka huu..

Prof Jay-Mikumi

Henry Kilewo-Mwanga

James Mbatia-Vunjo

Ongezea wengne ambao kwa maon yako unahisi watatinga Bungeni baada ya Uchaguzi Mkuu!

Gwamaka Mbughi~ Ileje
 
Maghembe akitoka lazima asalimie chadema, kazi ya kileo na makamanda wake ilikuwa siyo shughuli ya kitoto.
Kuishinda ccm pale upareni ni kazi isiyohitaji kubezwa.

Nyie ndiyo wachawi wa maendeleo, hamuwezi kamwe kumzuia kileo kwa kelele zenu za kupayuka payuka.

Hapo kwa kamanda Kilewo sina shaka nako wala kwa hao wengine nawakubali wote.

Hivi we ndo kilewo au? Sorry lakini
 
Jimbo la dodoma mjini mbuge malole ni kama tumeweka pazia hakuna halicho fanya vijana tuna taka kufanya mabadiliko makubwa tumevumilia kumechoka
Hivi watu wa Dodoma huwa mnatumia vigezo gani kuchagua wabunge? maana majimbo ya mkoa wa Dodoma yana wawakilishi wa ajabu sana kama huyo Malole, Lusinde, Nkamia nk. Hebu kuweni makini katika kuchagua wawakilishi sio bora mwakilishi tu
 
Mwanga ni rahisi kwa Chadema.......upande wa CCM wako Asha Rose,Maghembe,Mukangara na wengine wasomi.hapo pataleta sokomoko.
 
Ha ha ha ha Mkuu Ngoja nikamuulize anatumia Id gan huku

Maisha ya wakazi wa Mwanga na siasa zao kwasasa zimalebadilika sana, huwezi kumtofautisha kileo na mwanga kwasasa. Kwa upande wa ccm wanawakati mgumu sana kutokana na siasa zao za kikanda walizozitengeneza kwasasa wanamakundi ya Usangi na ugweno na kileo ameanza kucheza karata yake vizuri hata kwa mikutano anayopiga usangi na ugweno anakemea makundu hayo na ameweza kuyaunganisha bila kuja utambarare wake.

Vyovyote iwavyo lazima Henry Kileo ashinde kwasasa mwanga wanataka mbunge wa kutatulia matatizo yao na siyo mbunge wa msimu wa kuja kwenye kampeni pekee.

Hongera Kileo
 
Naamin unaelewa ukweli ila unaleta ushabiki mi nadhani kama unamkubali sana Kileo ujaribu kumshaur mda bado upo anaweza kubadili itikadi zake akashinda. Mwanga huwez kushinda kwa kuendesha siasa kama za Arusha ,Iringa au Mbeya alafu ukashinda. Time will tell

kwani siasa za mbeya,iringa na arusha ziko je?
 
Kwa Maoni yangu nazan hawa Watatinga Bungeni Baada ya Uchaguzi wa October mwaka huu..

Prof Jay-Mikumi

Henry Kilewo-Mwanga

James Mbatia-Vunjo

Ongezea wengne ambao kwa maon yako unahisi watatinga Bungeni baada ya Uchaguzi Mkuu!

Ni hakika!
 
Back
Top Bottom