Hawa watatinga Bungeni baada ya Uchaguzi Mkuu October 2015

Kisambo

JF-Expert Member
Dec 1, 2014
842
510
Kwa Maoni yangu nazan hawa Watatinga Bungeni Baada ya Uchaguzi wa October mwaka huu..

Prof Jay-Mikumi

Henry Kilewo-Mwanga

James Mbatia-Vunjo

Ongezea wengne ambao kwa maon yako unahisi watatinga Bungeni baada ya Uchaguzi Mkuu!
 
Napendelea hawa:
Esta Balaya Bunda
Halima Mdee kawe
Tundu Lisu huko kwao
Filikunjombe huko kwao
Kange Lugora Mwibara
Mnyaa huko kwao
na wafuatao wasirudi
Jenista Mhagama
Hawa Ghasia
Anna Kilango Malecela
Mary Nagu
Na wabunge wanawake wenye kazi ya wakishangilia tu
 
Napendelea hawa:
Esta Balaya Bunda
Halima Mdee kawe
Tundu Lisu huko kwao
Filikunjombe huko kwao
Kange Lugora Mwibara
Mnyaa huko kwao
na wafuatao wasirudi
Jenista Mhagama
Hawa Ghasia
Anna Kilango Malecela
Mary Nagu
Na wabunge wanawake wenye kazi ya wakishangilia tu

Kwa Kuongezea nazan umemsahau Kafulila mkuu!
 
Sio kirahisi namna hiyo. Maajabu yanaweza kutokea na wakaangukia pua.

Kama sijaelewa vizuri vile!!! umeanza kwa kuonyesha kwamba si rahisi namna hiyo, ikiwa na maana uwezekano wao ni mdogo. Hapohapo tena unasema maajabu yanaweza kutokea na wakaangukia pua, hii tena inaonyesha nafasi yao ni kubwa kiasi kwamba ni maajabu tu yanayotegemewa ili washindwe. Hapo naomba nipate msaada wa ufafanuzi zaidi.
 
Henry Kilewo hawezi kupata Mwanga japo tumejipanga kuhakikisha wapinzani wanashinda ila si wapinzani wa aina ya Kilewo a can bet
 
Napendelea hawa:
Esta Balaya Bunda
Halima Mdee kawe
Tundu Lisu huko kwao
Filikunjombe huko kwao
Kange Lugora Mwibara
Mnyaa huko kwao
na wafuatao wasirudi
Jenista Mhagama
Hawa Ghasia
Anna Kilango Malecela
Mary Nagu
Na wabunge wanawake wenye kazi ya wakishangilia tu

Pamoja na kwamba siipendi Ccm lakini si rahisi kumtoa mama Anne Kilango .
 
Kwa Maoni yangu nazan hawa Watatinga Bungeni Baada ya Uchaguzi wa October mwaka huu..
Prof Jay-Mikumi

Henry Kilewo-Mwanga

James Mbatia-Vunjo

Ongezea wengne ambao kwa maon yako unahisi watatinga Bungeni baada ya Uchaguzi Mkuu!

ZZK Kigoma kaskazini
 
Back
Top Bottom