Hawa wanaohoji hoja kipindi hiki, wangelisimamia hoja zao katika awamu ya tano, ningeliwaelewa

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Oct 28, 2012
18,659
20,995
Kuanzisha mradi ni jambo lingine na kuusimamia ukamilike ni jambo lingine!
Nastaajabishwa sana na wale wote ambao hawauoni upiganaji wa waziri wetu wa fedha hasa katika dhamira yake ya kuhakikisha anatumia kila senti katika kumaliza miradi iliyoachwa ambayo mingi ilikuwa chini ya asilimia 15, sasa mzalendo huyu anatumia hekima na elimu yake yote katika kuona ni lazima miradi hii iende kwa kasi stahili na imalizike kwa mujibu wa mikataba.

Of course ya maswala ambayo kwa mtu mwenye lengo na dhamira fulani, utakapo disturb target za kimsingi elewa ni lazima utajibiwa ndivyo sivyo, let ignore that!, ningependa watanzania wenzengu waelewe ispokuwa sina jinsi ya kuwaelewesha, THE WAR AHEAD, NI KUIMALIZIA MIRADI YOTE ILIYOPO!.

Hawa wanao hojihoji kwa nini wakati ule walikaa kimya endapo kweli wao ni wazalendo halisi, Kwanini waliufurahia uondoshwaji haramu wa CAG, kwa wakati ule baada ya kubainisha madudu.

Tuiache Serikali awamu ya sita ifanye kazi.
 
Back
Top Bottom