Hawa wanamuunga mkono Lowassa ktk CCM. Nani mwingine unamjua?

Wengine ni- Hamisi Mgeja (mwenyekiti CCM mkoa SHY)- Millya (Chairperson UVCCM AR)- Benno Malisa (Kaimu Mwenyekiti Taifa UVCCM)- Dr. W. Slaa (Katibu Mkuu Magwanda)- Askofu Laiser
Are you normal? Eti Dr slaa!?
 
threads za vihiyo zinaonekana tu. unaaga mke unaenda kuandika jf pumba kama hizi. kweli jf siku hizi imekuwa ya great sinkers.
Reality is subjective we umeona ni thread ya kihiyo lakini huko watu wamecontribute ile mbaya sasa sijui nani kihiyo. Aliyeanzisha na waliochangia au wewe uliyeona wengine akili hawana? Hii huwa inanishangaza sana. Kama huna cha kuchangia katika mada flani acha wachangie wengine. Sio lazima kila thread utoe mchango nyingine soma tu kisha sepa.
 
Nimemsahau
Abdulrahman Kinana
Mbunge wa Arumeru Magharibi na Naibu Waziri wa Viwanda na Bishara Mh olemedeyie
 
habari ndiyo hiyo bana mimi mwenyewe ngosha, chapa ngombe mwezetu huyo masai sasa mnataka wavuvi tena!!!?
 
Duh! Lowassa? Ni janga la kitaifa. Bora ukame wa Somalia kuliko huyu mtu!
 
Msisahau TBC1 na STAFF NZIMA YA WAFANYAKAZI,PIA WAFANYAKAz WA 5 Fm Arusha,newhabari ya Sinza kijiweni,clouds Fm na clouds tv
EL ni miongoni mwa wadau walubwa wa radio 5 ars na ndiye anayewawezesha hata ktk umaliziaji wa mjengo wao pale njiro hii radio itaanza matangazo ya tv b4 2015Vipi kuhusu matajiri hasa hawa wafanyabiashara wa Arusha ka kina Justin Nnyari, Njake, yule mdosi wa Leopard tours ranger safaris, Hans mwenye kiwanda cha chuma na mbolea minjingu, mrema wa Impala na Ngurdoto wachungaji weengi wa madhehebu mbalimbali
 
Hii thread imekaa kiumbea kweli,there is a need kutenga jukwaa la siasa ambalo
litakua la real great thinkers na liwepo au lisiwepo kabisa la watu wasiokua great thinkers.

Liwe na privileges kama jukwaa la premium member,isipokua anae changia kwenye jukwaa la
siasa ni yule atakae qualify kufanya hivo na sio kujaza watu wa kuandika upuuzi jamvini kama hawa
 
Duh,
kama ndivyo ni bora Nape aseme wazi tu huyu jamaa havuliki kama gamba.
Kwa mtandao huu hata Mukama+Kikwete+Nape < Lowassa
 
Back
Top Bottom