Hawa wanamuunga mkono Lowassa ktk CCM. Nani mwingine unamjua?

1. Anne Makinda
2. Shamsi Vuai Nahodha
3. Rostam Aziz
4. Anthony Diallo
5. Daniel Ole Njolay
6. Makamba Yusuph
7. 50% ya wabunge wote wa sasa
8. 50% ya wanahabari wote
9. 70% ya vyombo vya dola
10. Anajijenga zaidi kimataifa
11. 70% ya nguvu zote za jumuiya CCM
12. 50% +, ya wenyeviti wote wa CCM MKOA/WILAYA
13. 50% ya DC wote countrywide
14. 70% ya maaskofu wote hususan anglican, lutheran na hawa MITUME & MANABII waliojiri karibuni.
 
Badala ya kujenga nchi na kutaafuta njia za kutatua matatizo yanayotukabili tunawaza urais 2015. Kwa saili hii basi huyo lowasa atakutana na matatizo kibao...kwani kama tunafanya kampeni sasa na kwa gharama nyingi nani atatutatulila matatizo yetu ya sasa
 
Uungwaji mkono wa EL unaelekea mwisho kwa sababu sas hivi yeye na mkuu wa kaya hawaivi, alisema hawakukutana barabarani lakini mkuu wa kaya kamgeuka anataka kumtosa
 
dahh basi huyu jamaa ni noma kama iyo list yote inampigia saluut ,sina ujanja hata kura yangu ntammpa
 
Hii thread imekaa kiumbea kweli,there is a need kutenga jukwaa la siasa ambalo
litakua la real great thinkers na liwepo au lisiwepo kabisa la watu wasiokua great thinkers.

Liwe na privileges kama jukwaa la premium member,isipokua anae changia kwenye jukwaa la
siasa ni yule atakae qualify kufanya hivo na sio kujaza watu wa kuandika upuuzi jamvini kama hawa

Avatar yako inakuruhusu kuongea manake si kila Speaker ni spika wa viwango na spidi kuna wakina bi kiroboto nao ni masipka
 
Badala ya kujenga nchi na kutaafuta njia za kutatua matatizo yanayotukabili tunawaza urais 2015. Kwa saili hii basi huyo lowasa atakutana na matatizo kibao...kwani kama tunafanya kampeni sasa na kwa gharama nyingi nani atatutatulila matatizo yetu ya sasa

Inaonekana ujui chochote mdau upo upo Mzaeeeeeee
 
Uungwaji mkono wa EL unaelekea mwisho kwa sababu sas hivi yeye na mkuu wa kaya hawaivi, alisema hawakukutana barabarani lakini mkuu wa kaya kamgeuka anataka kumtosa

Kidogo mdau unafanana na ukweli kuna wadau wanashindwa kusoma alama za nyakati wakati wengine wanataka kujielimisha kutoka vyanzo mabalimbali wengine wanakimbilia kuchangia pumba.Kama uilewi mada ni vyema mtu akakaa pembeni.Coool pamaoja.
 
Mimi namjua mmoja tu. Wilson mukama. I stand to be corrected

Yeye ndie aliyemweka jiji sure nakubaliana nawe, ila mbona mara zote kila ambao rais anawateuwa wanakuwa watu wake au kamtangulia mbele hatua kadhaa?
 
mpaka hapa hawa waliotajwa tu ni dalili tosha kuwa lowasa atakuwa mgombea kupitia magamba, na km hakutakuwa na tume huru ya uchaguzi basi ndo raisi wa awamu ya 5 TZ.
.

Kuna kila dalili kuwa huyu jamaa atagombea 2015 kupitia CCM, na kama upinzani tusipokuwa makini huyu bwana anachukua nchi kiulaini, kuna dalili nyingi kuwa upande wetu ikikaribia uchaguzi tutaanza malumbano ya sisi kwa sisi ndani ya vyama na kuhusu muungano wa vyama wakati huo tunampa EL nyia nyororo ya kwenda magogoni kula bata.
 
Hapo kwa Nappe nilichagiza tuuuuu........ila vipi kuhusu gazeti la Jambo leo
Mkuu hapo pekundu umekosea kumbuka lile sakata lao la UVCCM na kuhusu ule ujenzi wa jengo la UVCCM. Huyu Bwana kwa sasa yuko na kina Sitta na Mwakyembe group.
 
Mbunge wa Kigoma Mjini mhe. Peter Serukamba,
Januari Makamba,
Karamagi Nazir,
Sofia Simba,
Kusila (m/kiti wa CCM Dom),
John Guninita (m/kiti Dar)
mwanyekiti wa ALART Taifa na mbunge wa Afrika mashariki kutoka Dar-Didas Masaburi
Mh Mbunge wa Segerea-Milton Mahanga
Mh Mbunge wa Kilindi-Bitte Shelukindo
Makamba mdogo
Zitto Zuberi
rost azizi
endrew chenge
wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya
wakurugenzi mbali mbali wa halmashauri
wajumbe wa kamati kuu CCM
- Hamisi Mgeja (mwenyekiti CCM mkoa SHY)
- Millya (Chairperson UVCCM AR)
- Benno Malisa (Kaimu Mwenyekiti Taifa UVCCM)
- Dr. W. Slaa (Katibu Mkuu Magwanda) Mdau katuchakachua kwa jina hili.
- Askofu Laiser
David Kafulila
- Sokoine (mbunge viti maalum)
- Pindi Chana - (viti maalum)

Na kuendelea !!!!!!!!!!!!!

Ina maana hawa ndio tuseme wana mtandao mpya?
Hebu tutajie mgao wao wa ile fedha ya EPA, ni kiasi gani?
Mkono wa Lowassa haulambwi mtupu, kuna pesa imetembea hapo.
 
Pia mwenyekiti wa CCM mkoa wa Shinyanga Hamis Mngeja ni muungaji mkono wa EL
 
Back
Top Bottom