Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,786
- 114,189
Juma Kidogo, kama ni tuhuma huwa zinathibitishwa, Lowassa hajamtuhumu jambo lolote JK bali tuu ame disclose asilimia 01% ya unknown facts kuhusu Richmond. Ile asilimia 99 iliyobakia ndio karata yake ya utakaso na ataitumia wakati muafaka!.Unampa Lowasa nafasi kubwa ya uhusika katika sakata la RICHMOND, tusaidie basi majibu ya hili. Unadhani ni kwa nini JK hajibu chochote kuhusu tuhuma alizopewa na Lowasa.
Alichosema Lowassa ndio ukweli wa mambo yenyewe na ukimya wa upande wa pili ndio uthibitisho kuwa hana la kujibu ambapo kimahakama silence means addmission of guilt!.
Naomba kusisitiza kwenye majibu yangu sijataja mtu sasa mshishangae watu wao wakija na kutaja taja majina humu!.