Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,786
- 114,190
Nyandaigobeko, usianze kumwaga mtama kwenye kuku wengi, wewe unga tela tumfagilie Lowassa mpaka asimamishwe CCM na kuunda timu kama ile ya mbio za nyika za Kenya zinazowatumia good pacemakers!.Kama naanza kukuelewa vile!
Lakini kuna uhakika gani mgombea wa upande wa pili atatoka huko kaskazini?
CCM Lowassa 2015!.