mbona wote washamba.View attachment 34361inakadiriwa walikuwa watu 108 kutoka Tumaini university smmuco waliopewaView attachment 34361View attachment 34361kadi na mhe. Nape . Ajabu hakuna hata mmoja aliyerudisha kadi. Sasa wanaJF kazi kwenu angalieni ndugu zenu wanachofanya. Tunafangia wenyewe wanachafua
unajua njaa ni k2 kibaya sana.nawapa hongera hata walioanzisha mpango wa chakula mashuleni! Msomi anapodanganywa kwa shati na hela ya lunch inatia aibu sana na inaumiza kichwa! Tatzo le2 tunafkiria viahad vya kupewa madaraka kuliko ukweli wa mambo unavyotakiwa.hata wale waliomchangia jk udom 2010 wanajuta na ku2ambia walibebwa kwa lazima,haiingii akilini!View attachment 34361inakadiriwa walikuwa watu 108 kutoka Tumaini university smmuco waliopewaView attachment 34361View attachment 34361kadi na mhe. Nape . Ajabu hakuna hata mmoja aliyerudisha kadi. Sasa wanaJF kazi kwenu angalieni ndugu zenu wanachofanya. Tunafangia wenyewe wanachafua
Hicho kitambi nadhani ni mjamzito Mh Nnape!