Hawa ndio wasomi wa CCM Kilimanjaro! Tazama picha

mh! So mtu anatuhuma tena anajiunga ccmuuu inamaana anatafuta sympathy au ndo kujificha ubadhirifu nyuma ya CCMUU?
inawezekana kwani hata rais wa serikali ya wanafunzi alikuwa mmoja wao ! ambaye anatuhumiwa kwa wizi wa sh. milioni 3 za wanachuo
 
[h=2]Hawa ndio wasomi wa CCM Kilimanjaro! Tazama picha[/h]
si sawa,kwani hivyo vyuo ni kwa ajili ya wananchi wa kilimanjaro???
na ukumbuke kwenye msafara wa mamba na kenge wamo..
 
Kwani we hujui kwamba siasa halali vyuoni na majeshini hapa tz ni chama tawala tu?
 
kama ndo hivyo basi wanajitahidi kunadi sera zile zile toka tanganyika hadi sasa tanzania..
 
Nauliza jamvin hamna watete na kada wa sisiem walokula kiapo cha kuitetea? Mbona hawajitokezi or ndo kuitelekeza sisiem? Jitokezeni basi kutetea hoja juu ya Chama tawala!
 
Wanafikiri wakijiunga ndo watapata kazi kirahisi hizo ni fikira potofu sana. halafu chuo chenyewe si unasikia kinaitwaje? hapo kwa hesabu ya haraka haraka no div 1, no div 2, no div 3 kama zipo sema
 
Amewaahidi wakimaliza shule atawapa ajira - Kachukua majina yao -- duh nawapa pole - wamuulize Rostam maswahibu yaliyomkuta. lol
 
Tulia kiongozi hicho ndio kikosi kazi cha kuwanajisi cdm uchaguzi ujao ndani ya Moshi. kwa asiyeona mbele anaweza kulonga sana lakini jua Gamba hilo linawaingia.
 
Njaa jamani inawasumbua wasomi wetu,kwa hali ya kawaida kabisa hata kama huna elimu huwezi shabikia ccm hii tulionayo sasa maana imejaa wezi wa rasilimali za nchi yetu.
I
 
Mr.mark !we unaona kuna mwenye uwezo wa kuinajisi cdm ndani ya ccm kwa sasa ?mbona wote ni wepesi kama nape.moto wa cdm kwa sasa hauzimwi kwa maji ni hatariiiiiiiiii
 
Njaa jamani inawasumbua wasomi wetu,kwa hali ya kawaida kabisa hata kama huna elimu huwezi shabikia ccm hii tulionayo sasa maana imejaa wezi wa rasilimali za nchi yetu.
I
 
hao hawakuamia CCM, wamejiunga na CCM, hawakuwa chama chochote kabla, tazama vizuri wengi wametoka vijijini sijui secondari za kata? maana hawajui lolote kuhusu siasa, wanafikiri wamejiunga na ccm ya Nyerere, kumbe wameliwa. Haoooo aibuuuuuu zimewajaaaa. Sijui wameahidiwa nini na huyo dogo Niape Naunye
 
Hao wanamagamba wana macho lakini hawaoni, wanasikia lakini hawelewi, wananyonywa sana lakini hawana hisia, wanatembea kwa dira mbovu hivyo wanaelekezwa shimoni.
 
ni kweli siasa ndani ya chuo hairuhusiwi ndio maana mkutano wao walifanyia nje ya chuo. kwenye ukumbi wa kada wa CCM (KING SIZE)

bwn James kwani siasa inakatazwa ndani ya jengo la chuo au chuoni? Maana kama wanachuo ndo wanakatazwa kupelekewa siasa bado haujabadili kitu!
 
Kwa kuwaangalia tu jinsi walivyo siwezi kushangaa sana kwa maamuzi waliyoyafanya.
Ki-ukweli wanahitaji huruma na muongozo badala ya kuwabeza.
Tunapata dhambi kubwa kuwaacha wapotee huku tunawaangalia tu kwa macho
 
Sura zinaonesha wana njaa kali na ukilaza wa kupindukia.nadhani kuwaita wasomi mnakosea sana.kwa msomi anayejua matatizo tulionayo watanzania kwa sasa hawezi kujiunga na "chama cha majambaka" vinginevyo ni wale vilaza waliokalilishwa kwamba usipojiunga na "chama twawala" hutapata ajira. Puuuumbavuuu zao!!!!!
 
Back
Top Bottom