Hawa ndio wasomi wa CCM Kilimanjaro! Tazama picha

Kweli kama hata hao wameamua hivyo basi mfumo mzima umepatwa na saratani ya upungufu wa fikra.Wasomi magumashi hao na ndio maana wanajipendekeza tu.
WanaJF hebu jaribuni kuangalia vyuo vilivyomtunuku mkuu udokta magumashi ndipo utajua kumbe elimu ni jina tu.
Enyi vijana wa Tumaini mtalaaniwa kwa kushupaza shingo zenu.
 
attachment.php
 
Sioni tatizo la kujiunga na chama cha mapinduzi tatizo linakuja, kama kweli siasa hazitakiwi chuoni na kama kweli waligawa kadi kwenye maeneo ya chuo basi hapo kuna utata. Siasa walifanya zamani bwana siyo leo ata ujiite rais wa chuo utatumika sana ukimaliza chuo wanakusahau ata simu zako hawatapokea hiyo ndiyo tabia ya wanasiasa wa Tanzania. Arobaini yao inakuja very soon. We need changes, lets stand as one and liberate this young nation.
 
vyuo vya kata bwana!!!! taaabu kweli kweli....but sishangai vimeibuka wakt wa JK so hata wanafunzi wana mawazo ya kimagamba magamba tu...
 
Hakuna wasomi hapo. Msomi huwa anafanya rational decision. What they dd is to look 4 somethn to subsidize their boom. They are not real new members of CCM, they are the new 'MAGAMBA'. Sio lazima tuwajadili. Ukiona mtu anaisupport CCM, KAMA NI NDG YAKO, JARIBU KUMCHUNGUZA AKILI YAKE.
 
hao CCM ni wajinga sana, kuna wakati siasa vyuoni zilipigwa amrufuku, wakazirudisha kinyemela, wanapozidiwa wanazipiga vita, sijui nape hajui msimamo wa maDC juu ya wanaunzi wa UDOM?

Hivi si nilisikia vyama vinaambiwa visipeleke siasa vyuoni? Sasa kugawa kadi ni nini? Au Bw. Nepi kageuka mhubiri wa dini?
 
hapo hakuna wasomi, njaa tupu hao, yawezekana wana 10,000 kila mmoja hapo
 
Wana magwanda ya kaki wala msiumize kichwa sana ndio Siasa hizo! Jipangeni na ninyi kujibu mapigo vyuo viko vingi sana nendeni mkawape kadi za vidole viwili!
 
Back
Top Bottom