Hawa ndio wasanii watano Africa wenye kipato kikubwa

Acha zako ww mm iyo list naijua ni ya 2010 uko dbanj mwenyewe kachoka kama nn
Tufanye sawa, unaamini kabisa Diamond yuko juu ya Youssou N, Salif K & Koffi?
Forbes yao ni hii
Akon
Don jazzy
Psquare
Dbanj
Wizkid
Anselmo R
Sarkodie
Ice P
Bank W
Pia ifahamike kuwa kutotoa nyimbo haina maana msaani kayumba kiuchumi. Swala anamiliki nini na anajishughulisha na nini.
 
Kwa hiyo ww hoja yako n nn au umeumia kumuona mond kuwemo kwny hiyo list maana unahangaika kwl na list za miaka sita iliyopita
 
Kwa hiyo ww hoja yako n nn au umeumia kumuona mond kuwemo kwny hiyo list maana unahangaika kwl na list za miaka sita iliyopita
Ndo tatizo lenu hilo wabongo uwongo mnaufata kwa spidi zote ukweli mnaukimbia diamond hayuko hata 20bora iweje 5bora labda hiyo list ilitakiwa iwe ya east africa sema mtoa uzi kaona avuruge tu viteam vyenu uchwara,diamond dola m4 kwenye 5bora 2face atakuwa na utajiri dola laki moja
 
Kwa hiyo ww hoja yako n nn au umeumia kumuona mond kuwemo kwny hiyo list maana unahangaika kwl na list za miaka sita iliyopita
Hoja ni kwamba, sio kila kilicho Google ni sahihi. Kwa bahati nzuri huwa najifunza kwa walio fanikiwa, wanaojituma kwa khali na mali. D ni mmoja wao
 
Ndo tatizo lenu hilo wabongo uwongo mnaufata kwa spidi zote ukweli mnaukimbia diamond hayuko hata 20bora iweje 5bora labda hiyo list ilitakiwa iwe ya east africa sema mtoa uzi kaona avuruge tu viteam vyenu uchwara,diamond dola m4 kwenye 5bora 2face atakuwa na utajiri dola laki moja
Kaaa ivo ivo jamaa aendelee kutengeneza hela

Tumia tu ata akili ya kawaida kama yupo top five top 20 akose nahisi ulikimbia umande kaka
 
Hoja ni kwamba, sio kila kilicho Google ni sahihi. Kwa bahati nzuri huwa najifunza kwa walio fanikiwa, wanaojituma kwa khali na mali. D ni mmoja wao
Umetumia kigezo gani kuamini kuwa hiyo yako ni y kweli alafu iliyo kwny bandiko ni ya uongo
 
Kaaa ivo ivo jamaa aendelee kutengeneza hela

Tumia tu ata akili ya kawaida kama yupo top five top 20 akose nahisi ulikimbia umande kaka
Tumia tu akili ya kuuliza source ya iyo list kwa style hiyo hongera kwa kuufata umande maana uko genius ajabu
 
Mkuu isho_boy,

Nadhani unafahamu mimi ni WCB 'kindaki ndaki' lakini hiyo list huyo mwandishi amekosea sana.. Kimuziki ukiniuliza wasanii watatu wakali Afrika kwa mwaka 2016 nitakwambia Chibu ni mmoja wapo, lakini ukiniuliza wasanii 10 wenye hela Afrika.. Nakuhakikishia Diamond hayumo.. Nitatoa sababu

Hiyo list imefanya uchambuzi juu juu sana pasipo kuzingatia masuala muhimu.. Wamefanya makosa yafuatayo;

1. Kuna methodology zinazotumika kupata 'net woth' ya mtu na moja ya vitu vya msingi kabisa unavyotakiwa kuviepuka ni kutojumuisha 'primary residence' (nyumba anayoishi) katika mahesabu ya networth..
Hii ndio njia ndio inatumika na Forbes kukokotoa utajiri wa mtu! Hautakiwi kujumuisha vitu binafsi (nyumba anayoishi, gari anayotembelea na vitu kama hivyo)

Unachotakiwa kukokotoa ni 'vitega uchumi' na fedha zilizopo bank au shares kwenye makampuni..
Kwamfano hapo wanasema akothee ana utajiri wa biln 132.. Kiuhalisia makampuni ya Akothee huko Kenya yana valuation ya dola milioni 10 pekee lakini ukijumlisha na nyumba ya Switzerland aliyopewa mwanzoni mwa mwaka ndio labda unapata hiyo figure (nyumba inasemekana ina valuation ya dola milioni 50).

Sasa kwa standard za Forbes kwa mfano unatakiwa ukokotoe valuation ya makampuni yake pekee pasipo kujumlisha nyumba yake UNLESS nyumba ile haishi bali anaitumia kibiashara. (Kukodisha, kupangisha n.k)

Kosa hilo hilo wamelifanya kwa chibu kujumlisha ikulu yetu ya Madale na Jumba la Pretoria. Zile ni primary residence haziingii kwenye hesabu za net worth. Wanachotakiwa kufanya ni kufanyia valuation kampuni ya WCB kisha kukokotoa thamani ya shares za Chibu kwenye WCB ndio wajumlishe kwenye hesabu za net worth yake.
Tatizo la masupastaa wetu wengi Africa ni kutozifanyia valuation kampuni zao, ndio maana huwezi kukuta matajiri wakubwa wanaenda kuwekeza kwa kuingia ubia au kununua shares kwenye kampuni zao.. Tajiri anaye jielewa kabla hajawekeza mahali kwanza anataka kujua thamani ya hiyo kampuni..
Yani mfano umshtukize Simba sasa hivi umuulize WCB market value yake ni kiasi gani?? Hajui..

Kingine hiyo mikataba ya voda, sijui dstv, sijui Coca cola, nayo wamechukulia juu juu.. Wamejumlisha tu tawajaondoa kodi ya serikali aliyolipa baada ya yeye kulipwa, hawajaondoa 'kipande' cha akina babu tale, sallam, fella, Zari.. Unaona kosa hilo??

Kwenye kiwango cha malipo ya shoo ndio wamebugi kabisa?? Eti diamond analipwa mln 25 kwa show akiwa ndani ya nchi?? Nani kakwambia?? Ameshavuka hicho kiwango.. Ni dhahiri huyo mwandishi amechukua habari za kwenye mablogu pasipo kutafiti!

2. Kwa Nigeria ndio wamevurunda kabisa! Mfani Don Jazz ana utajiri mkubwa kuliko Wizkid na Davido, kwanini hayuko kwenye list? Vipi kuhusu Banky W?? D'banj??

Tutofautishe kuwa maarufu au kuhit kwenye chart za muziki na utajiri. Ndio maana drake anahit zaidi ya Diddy lakini kwenye hela anasubiri miaka mia nane.
Hii ndio kama Don Jazz huyu jamaa amejijenga haswa kibiashara, Davido na Wizz bado sana kumfikia kwa fedha..

Alafu huyo mwandishi amewahi kumsikia mtu anaitwa Fally Ipupa??

Alafu kwanini anaandika kuhusu wasanii wenye utajiri mkubwa alafu hamjui hata msanii ambaye ndiye mwenye utajiri kuliko mwanamziki yeyote yule Afrika!! Ina maana hamjui Youssou Ndour?? Huyu ndiye mwanamziki tajiri zaidi Afrika..

Kama nilivyosema mimi ni WCB kindaki ndaki na lengo langu sio kuponda Chibu, ila tukiamsifia kwa vitu vya uongo tunamuharibu, atabweteka wakati vitu vyenywe vya uongo.. Tukimwambia ukweli kama hivi ndio ataendelea kupambana na sisi tulio karibu nae tunaongeza vitambi..

The Bold.

# WCB # Winners Cycle
Ina maana wote HAMKIONI NINACHOKIONA MIMI KWENYE HII MADA AU MIMI NDIO NIMESHAANZA KUZEEKA ......Mleta mada yuko SAHIHI, KWASABABU UKISOMA NDANI KIUSAHIHI UTAONA IMEANDIKWA KWA WASANII WALIOINGIZA PESA NYINGI KWA MWAKA HUU 2016,AMBAPO HATA MAN FONGO KAMA ANGEINGIZA PESA NYINGI MWAKA HUU ANGEKUWA KWENYE LISTI. Kwahiyo hiyo listi HAIHUSU WASANII MATAJIRI KWA AFRICA,ILA INAZUNGUMZIA WALIOTENGENEZA PESA NYINGI KWA MWAKA HUU KULIKO WENGINE,JAPO WAPO WALIO MATAJIRI NAO WALIENDELEA KUTENGENEZA PESA NYINGI MWAKA HUU.
 
Nyie wenye mapenzi na Diamond msituone wote wajinga, siku nyingine msituletee upuuzi huu tena, kama mahaba yamezidi mkasajiri dini yenu muanze kumwabudu.
 
Mkuu umekosea San kukoment kwenye hii mada ungekomenti mwishonimwishon uko kaka.....umewapa watu kitu cha kuongea
Mkuu vipi ....Mada yako iko sahihi,sema labda na wewe umeileta bila kuisoma ndani, maana hata mimi niliiona kwa millardayo.com nimeisoma na nikaielewa kuwa, HII LISTI NI KWA WASANII WA AFRICA WALIOTENGENEZA PESA NYINGI MWAKA HUU 2016,SIO KWAMBA HAO NDIO MATAJIRI KULIKO WANAMUZIKI WOTE AFRICA,JAPO WAPO NA WALIO MATAJIRI NAO WALIENDELEA KUTENGENEZA PESA NDEFU MWAKA HUU.
 
Nyie wenye mapenzi na Diamond msituone wote wajinga, siku nyingine msituletee upuuzi huu tena, kama mahaba yamezidi mkasajiri dini yenu muanze kumwabudu.
Mada iko sahihi,sema mlio wengi ni wavivu wa kusoma na KUELEWA,MADA INAZUNGUMZIA WALIOTENGENEZA PESA NYINGI KULIKO WASANII WOTE AFRICA KWA MWAKA HUU 2016,SIO KWAMBA HAO NI MATAJIRI KULIKO WOTE, HATA BARAKA DA PRINCE ANGEWEZA KUWEPO IWAPO TU KAMANA YEYE ANGEINGIZA PESA NDEFU MWAKA HUU WA 2016, SASA LABDA MM'BISHE KUWA HAWA HAWAKUTENGENEZA PESA NDEFU KWA MWAKA HUU.
 
Unawezaje kuwafahamisha PSquare na Diamond kwa kipato? PSquare wameanza 1999, Diamond kaanza 2009, sasa how possible wakawa na kipato sawa. Halafu mbwembwe za Diamond ndizo zinazompa pesa, angekuwa hana mbwembwe asingekuwa msanii ghali Tanzania na East Afrika.
Lakini pia MADA INAWAZUNGUMZIA WASANII WALIOINGIZA PESA NYINGI MWAKA HUU 2016,NA SIO KWAMBA HAO NI MATAJIRI KULIKO WOTE KWA WASANII WA MUZIKI AFRICA NZIMA,JAPO WAPO WALIO MATAJIRI NA WALIENDELEA KUINGIZA PESA NDEFU MWAKA HUU.
 
Usirudie kupost utumbo bila koffi
Jamani muwe mnasoma habari yote na kuielewa kabla ya kubisha,MADA INAWATAJA WASANII WALIOPIGA PESA NDEFU MWAKA HUU,SIO KWAMBA HAO NI MATAJIRI KULIKO WASANII WOTE WA AFRICA,JAPO WAPO WALIOMATAJIRI NA WAKAENDELEA KUPIGA PESA MWAKA HUU.
 
Listi ya "UJANJAUJANJA"
Msiwe mnafuata mkumbo wa kukomenti kabla na wewe hujasoma kilichopo ndani,hii habari Millardayo.com anayo na imeandikwa vizuri tu,kuwa HAWA NI WASANII WATANO WA AFRICA WALIOTENGENEZA PESA NDEFU,SIO KWAMBA HAO NDIO MATAJIRI KULIKO WOTE,JAPO HATA WALIOMATAJIRI NAO WALIENDELEA KUPIGA PESA MWAKA HUU WA 2016. KWA MAANA HIYO HATA NUHU MZIWANDA ANGEWEZA KUWEPO KAMA ANGETENGENEZA PESA NDEFU MWAKA HUU.
 
Back
Top Bottom