Hawa hawana kabisa uwezo wa kujenga na kupangua hoja

Sexless

JF-Expert Member
Mar 11, 2017
21,563
50,415
Uwezo wao wa kupambanua mambo na kupangua hoja ni mdogo sana. Ni kama hawana kabisa uwezo wa kujenga na kupangua hoja.

1. Mary Chatanda kashindwa kabisa kuitumia platform ya yeye kuwa mwenyekiti wa UWT kuwashawishi wanawake kwa hoja kumchagua mgombea urais wa ccm kwenye uchguzi mkuu wa 2025. Badala yake amekuja na vioja eti anawaambia wawape ngono waume zao ili wamchague Samia 2025.

2. Sophia Mjema siku chache kabla ya kutumbuliwa ukatibu mwenezi wa ccm alianika ujinga wa kutoijua katiba na kujikuta akisema rais Samia atasalia madarakani mpk 2035. Yadwa kauli hii ndiyo imemtoa kwenye nafasi hiyo.

3. Mwenyekiti wa UWT wilaya ya Kinondoni Bi. Anna Hangaya naye katoa boko huko. Badala ya kuhamasisha wanawake wenzake wauone uzuri wa ccm yeye anasema "anaipenda ccm kuliko watoto wake". Hakuna hoja yoyote yenye mashiko aliyozungumza.

Ndipo sasa nauliza, hawa ndiyo wanawake waliosema wakiwezeshwa wanaweza ama tusubirie wengine wazaliwe?
 
Uwezo wao wa kupambana mambo na kupangua hoja ni mdogo sana. Ni kama hawana kabisa uwezo wa kujenga na kupangua hoja.

1. Mary Chatanda kashindwa kabisa kukitumia platform ya yeye kuwa mwenyekiti wa UWT kuwashawishi wanawake kwa hoja kumchagua mgombea urais wa ccm kwenye uchguzi mkuu wa 2025. Badala yake amekuja na vioja eti anawaambia wawape ngono waume zao.

endelea kunyamaza".

Ndipo sasa nauliza, hawa ndiyo wanawake waliosema wakiwezeshwa wanaweza ama tusubirie wengine wazaliwe?
Hao ni sehemu ya thinktanks ya nchi😀😀😀
 
Uwezo wao wa kupambanua mambo na kupangua hoja ni mdogo sana. Ni kama hawana kabisa uwezo wa kujenga na kupangua hoja.

1. Mary Chatanda kashindwa kabisa kuitumia platform ya yeye kuwa mwenyekiti wa UWT kuwashawishi wanawake kwa hoja kumchagua mgombea urais wa ccm kwenye uchguzi mkuu wa 2025. Badala yake amekuja na vioja eti anawaambia wawape ngono waume zao ili wamchague Samia 2025.

diyo wanawake waliosema wakiwezeshwa wanaweza ama tusubirie wengine wazaliwe?
Mkuu tuendelee kuwapa nafasi
 
Sophia Mjema alipata div ngapi fomfoo.
Mnakumbuka kauli zake wakati CCM ikizunguka nchi nzima kushawishi watu waupende mkataba wa DP world.
Yaani mama yule Ni mweupe pe. Sasa amepewa cheo kisicho na ofisi Kama mchapakazi na rais mtarajiwa bwana Lukuvi.
 
Uwezo wao wa kupambanua mambo na kupangua hoja ni mdogo sana. Ni kama hawana kabisa uwezo wa kujenga na kupangua hoja.

1. Mary Chatanda kashindwa kabisa kuitumia platform ya yeye kuwa mwenyekiti wa UWT kuwashawishi wanawake kwa hoja kumchagua mgombea urais wa ccm kwenye uchguzi mkuu wa 2025. Badala yake amekuja na vioja eti anawaambia ake waliosema wakiwezeshwa wanaweza ama tusubirie wengine wazaliwe?
Huyo Mary huyo,ndiyo kopo kabisa!
Mwanamke lake jiko,aya mengine ni kujitakia matatizo tu!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Uwezo wao wa kupambanua mambo na kupangua hoja ni mdogo sana. Ni kama hawana kabisa uwezo wa kujenga na kupangua hoja.

1. Mary Chatanda kashindwa kabisa kuitumia platform ya yeye kuwa mwenyekiti wa UWT kuwashawishi wanawake kwa hoja kumchagua mgombea urais wa ccm kwenye uchguzi mkuu wa 2025. Badala yake amekuja na vioja eti anawaambia wawape ngono waume zao ili wamchague Samia 2025.

2. Sophia Mjema siku chache kabla ya kutumbuliwa ukatibu mwenezi wa ccm alianika ujinga wa kutoijua katiba na kujikuta akisema rais Samia atasalia madarakani mpk 2035. Yadwa kauli hii ndiyo imemtoa kwenye nafasi hiyo.

3. Mwenyekiti wa UWT wilaya ya Kinondoni Bi. Anna Hangaya naye katoa boko huko. Badala ya kuhamasisha wanawake wenzake wauone uzuri wa ccm yeye anasema "anaipenda ccm kuliko watoto wake". Hakuna hoja yoyote yenye mashiko aliyozungumza.

Ndipo sasa nauliza, hawa ndiyo wanawake waliosema wakiwezeshwa wanaweza ama tusubirie wengine wazaliwe?
Mgema na saa100 hawatofuatini sana wakivua vile vilmebe ni kama amba lulu aliyechangamka
 
CHADEMA inajadili tabia za watu na mipasho badala ya kuchambua na kujibu hoja, hoja zilizopo mezani.

Hoja alizoziibua Makonda wanazikwepa, wanawaingiza wakina "Mama" na misemo na mipasho yao. Huo ni Upotoshaji wa makusudi.

CHADEMA wanaendelea na kuongeza sintofahamu, na makosa wanapojadili tabia za Watu na misemo yao badala ya kuchanganua na kujibu hoja zilizopo.

Jamani Makonda ajibiwe hoja zake.
 
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama nchi tuna obwe la uongozi. Sera ya 50/50 ni ya hovyo sana maana swala si fulani apate ila nani ana uwezo. Viongozi uliowataja ni baadhi tu ya wanawake walionyesha uwezo mdogo sana ktk uongozi lakini jinsia inawabeba.
 
Kosa kubwa la kiufundi limefanyika kuwapa madraka watu hawa kwa kigezo cha jinsia badala ya uwezo.
 
CHADEMA inajadili tabia za watu na mipasho badala ya kuchambua na kujibu hoja, hoja zilizopo mezani.

Hoja alizoziibua Makonda wanazikwepa, wanawaingiza wakina "Mama" na misemo na mipasho yao. Huo ni Upotoshaji wa makusudi.

CHADEMA wanaendelea na kuongeza sintofahamu, na makosa wanapojadili tabia za Watu na misemo yao badala ya kuchanganua na kujibu hoja zilizopo.

Jamani Makonda ajibiwe hoja zake.
Mkuu Acha ujinga basi.

Kuna hoja yoyote aliibua makonda? Kwamba anaiagiza serekali impe kibali cha helicopter mbowe? Serious we unaona ni hoja hiyo?

Kwamba tamko kuwa wanawake wawape wanaume ngono ili wamchague mama Samia unaona ni kitu cha kawaida?
 
Back
Top Bottom