johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,016
- 142,056
Kwa sababu CCM ni chama Tawala basi UVCCM wameona silaha yao Kuu ni Nguvu na Vitisho badala ya kujenga hoja
Hii hali ilishalalamikiwa na Mzee Kikwete, hayati Magufuli na sasa Rais Samia amelisemea tena
Niwakumbushe tu UVCCM zama za Maguvu zimepitwa na wakati ndio unaona Mgambo Wachache sana wa Hamas wameisumbua Dunia hadi Baba la Miguvu USA anaomba poo
Jifunzeni kujenga Hoja zenye mashiko zinazosindikizwa na Takwimu kama ilivyokuwa inafanya Bavicha ya Zitto Kabwe na Mnyika hadi ikapendwa Dunia nzima
Mungu wa Mbinguni wafanyie Wepesi UVCCM