Having an affair with ur best friend's sister......

RRONDO

JF-Expert Member
Jan 3, 2010
51,745
107,899
Jamani nakumbuka wakati niko teenager nilikuwa natoka na dada wa rafiki wangu kipenzi,it was awkward lakini nilikuwa nampenda dada yake vibaya sana.tulikuwa tukifanya siri,kwa kweli ni yeye tu alikuwa hajui kila mtu mtaani alikuwa anajua nini kinaendelea,kama kawaida mwisho wa siku alijua,namsifu na kumheshimu jamaa kwani hakuwa na kinyongo na urafiki wetu uliendelea as if nothing happened.....je wewe ushawahi kutembea na dada wa rafiki yako? au madada wa jf mshawahi kutoka na rafiki wa kaka zenu....?
 
Maswali mengine bana..
How old are you????
Wengine tumeshatembea na wake wa ndoa
wa ma best friend,na tukasamehewa na urafiki unaendelea.....

Wewe dada tu unaona big deal?????
Hivi akija mtu akitembea na mke wako na dada yako kwa mpigo
utafanya nini?????
Wapo watu wa aina hiyo,wengine hapa hapa jf.
 
mimi sioni tatizo liko wapi hata kidogo.........watu wanafika kuolewa hasa na rafiki wa kaka zao itakuwa kuwa na uhusiano!
 
Anajitundika tu.....:A S-danger:
 
Maswali mengine bana..
How old are you????
Wengine tumeshatembea na wake wa ndoa
wa ma best friend,na tukasamehewa na urafiki unaendelea.....

Wewe dada tu unaona big deal?????
Hivi akija mtu akitembea na mke wako na dada yako kwa mpigo
utafanya nini?
????
Wapo watu wa aina hiyo,wengine hapa hapa jf.

i'll shoot him.....wee inaonyesha utachekelea tu kwasababu ni 'mzoefu'......
 
mimi sioni tatizo liko wapi hata kidogo.........watu wanafika kuolewa hasa na rafiki wa kaka zao itakuwa kuwa na uhusiano!

inategemea na mtu....kuna watu wanaona kama ni usaliti fulani.....kuoa na just kutembea nae ni vitu tofauti....
 
Maswali mengine bana..
How old are you????
Wengine tumeshatembea na wake wa ndoa
wa ma best friend,na tukasamehewa na urafiki unaendelea.....

Wewe dada tu unaona big deal?????
Hivi akija mtu akitembea na mke wako na dada yako kwa mpigo
utafanya nini?????
Wapo watu wa aina hiyo,wengine hapa hapa jf.

mbona unakurupuka tu....nimekwambia naona deal???
 
Maswali mengine bana..
How old are you????
Wengine tumeshatembea na wake wa ndoa
wa ma best friend,na tukasamehewa na urafiki unaendelea.....

Wewe dada tu unaona big deal?????
Hivi akija mtu akitembea na mke wako na dada yako kwa mpigo
utafanya nini?????
Wapo watu wa aina hiyo,wengine hapa hapa jf.

...hii ndio inaitwa 'Kumkonya Nyani Giladi!'...
Unamtandika huku unamuangalia usoni!
 
kuna watu wanatoka kwenye baadhi ya makabila ambayo ni sifa kutembea na mama, mwanaye na ikiwezekana na mjukuu. Na anajidai kabisa kuwa yeye kidume. Kuna wengine hata kutembea na mke wa rafiki anaona ni sifa....sasa hii iunategemea wewe unatoka kabila lipi na na kama conscious yako inasema ni vizuri au vibaya. You can feel bad if you want, but it is not a crime, and you can feel gulity if you want. kama huyo dada wa rafikiyo ni grown up na anaweza kufanya maamuzi mwenyewe, hakuna ubaya. Lakini inaonekana huyi jamaa si rafiki yako wa kweli, ni mshikaji tu wa mtaani.
 
Maswali mengine bana..
How old are you????
Wengine tumeshatembea na wake wa ndoa
wa ma best friend,na tukasamehewa na urafiki unaendelea.....

Wewe dada tu unaona big deal?????
Hivi akija mtu akitembea na mke wako na dada yako kwa mpigo
utafanya nini?????
Wapo watu wa aina hiyo,wengine hapa hapa jf.

Well these are best referred to as Don Juans... Hongera.
 
Jamani nakumbuka wakati niko teenager nilikuwa natoka na dada wa rafiki wangu kipenzi,it was awkward lakini nilikuwa nampenda dada yake vibaya sana.tulikuwa tukifanya siri,kwa kweli ni yeye tu alikuwa hajui kila mtu mtaani alikuwa anajua nini kinaendelea,kama kawaida mwisho wa siku alijua,namsifu na kumheshimu jamaa kwani hakuwa na kinyongo na urafiki wetu uliendelea as if nothing happened.....je wewe ushawahi kutembea na dada wa rafiki yako? au madada wa jf mshawahi kutoka na rafiki wa kaka zenu....?

kinyongo cha nini sasa?kwani hata awe na kinyongo atamfanya hiyo kitu dadake....labda nyie ndo mlikuwa na kinyongo ndo maana mkaachana na hamko pamoja hii leo
 
Jamani nakumbuka wakati niko teenager nilikuwa natoka na dada wa rafiki wangu kipenzi,it was awkward lakini nilikuwa nampenda dada yake vibaya sana.tulikuwa tukifanya siri,kwa kweli ni yeye tu alikuwa hajui kila mtu mtaani alikuwa anajua nini kinaendelea,kama kawaida mwisho wa siku alijua,namsifu na kumheshimu jamaa kwani hakuwa na kinyongo na urafiki wetu uliendelea as if nothing happened.....je wewe ushawahi kutembea na dada wa rafiki yako? au madada wa jf mshawahi kutoka na rafiki wa kaka zenu....?

As long as si nduguyo, wewe beba tu. Yoyote. Wa Rafiki yako ndiyo best kwani mnaimalisha urafiki kutoka kwenye ushikaji kwenda kwenye ushemeji na wewe soon kuitwa uncle. Lovely.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom