have a dinner with me at ma palace

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,363
58,386
you will like it
palace.jpg
 
Mtakatifu Ivuga, naona hii haijakaa ki bantu bantu, uzungu unaotaka kuupa ubantu ni kidogo sana.
Nikija na mamangu na babangu watashindwa kutumia hizo silaha: kisu, uma, na kijiko!
 
hio ni kweli lakini tamaduni unazozisema hapo hakuna anayezifuata siku hizi. baba na mama huwezi kuwaweka kwenye meza kama hiyo.ni kweli watakushangaa
 
Mtakatifu Ivuga, naona hii haijakaa ki bantu bantu, uzungu unaotaka kuupa ubantu ni kidogo sana.
Nikija na mamangu na babangu watashindwa kutumia hizo silaha: kisu, uma, na kijiko!
hiyo signature yako ni mstari wangu ambao naupenda sana. nimefurahi kuuona .be blessed
 
Back
Top Bottom