HatimayeTcu watowa majina ya waliochaguliwa elimu ya juu na kiwango cha mkopo

Status
Not open for further replies.
ww huo ujinga kwanza change kchwa cha habar uclete ujnga humu ndani sawa!Halafu mbona kama mtoto jna lako uwangalziwe mara ngapi wakat umeshaangalziwa ktk post nyngne kama huwaamin wa2 nenda kaangalie mwenyewe c o ku2zngua n topc za kjnga umeambiwa jna lako halpo
 
Hamna kitu mbona, nimefungua this morn nothing new, umepata wapi hii?
 
Sasa wewe ndugu yangu, umeambiwa ya jana ni ya leo? mi niliwaomba watu wanicheki ktk majina ya watu wasiopata vyuo ndo wakasema mimi simo, alaf leo una kuja moto ooh cjui nin aaah unakera kichwa cha habari hiki tofaut na kile cha jana xawa?
 
Xawa ndugu Ambumbu amekuelewa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom