Hatimaye wazee wadai Mustapha Mkullo si mtanzania

Duhhh,

Sasa tunapo kwenda ndiko kubaya, amakweli nchi yetu imekuwa shamba la bibi,

Mimi ntalalama na USALAMA wa taifa kwani wao wanayajua haya na kama walisha peleka info kwa IKULU na haijafanyiwa kazi,ni mna leak info kama kweli (USALAMA) wako kimaslahi ya nchi ili hao wakubwa wanaozibania waumbuke ndio watajirekebisha, Kama mwapeleka maelezo then hayatatuliwii hamjuu siku kibao kikibadilika ina kula kwao USALAMA wa taifa wote mliokuwa na hizo details?
 
kwa kweli hayo mambo ni mazito sana, na ni ajabu kwa usalama wa taifa kushindwa kuwaforce serikali kwa issue kama hizi za kiusalama, inashangaza sana kwa idara kubwa kama ya usalama kuwa chini ya wanasiasa na wanasiasa wanafanya mambo yao bila kiuwa na hofu na serikali yao kuwa iko salama kiasi gani?
 
Anaitwa DR. MUSTAPHA MAKUNGANYA MKULLO...hivi si tuna kitu inaitwa Makunganya Street? any connection? :confused2:
 
Tanzania inaelekea mahali pabaya kweli system yetu ya uhamiaji ni mbovu kupita maelezo leo tunashangaa Mukullo lakini kina Jenerali Ulimwengu tulishawakamata ni kwanini system yetu isiangaliwe upya kubaini mianya ya raia wa kigeni wanavyojipenyeza na kushika vyazifa kubwa serekali bila vyombo vya dola kuwabaini.
 
Tukianza kutafuta uraia wa kila kiongozi wapo wengi tu itabidi waachia ngazi,hivyo ndivyo nchi yetu ilivyo,tatizo letu kila kitu tunakifanya kama vile tunaigiza hata pale ambapo matokeo ya jambo lenyewe ni madhara makubwa.
 
KATI YA NCHI YANGU NA CHAMA ........NITANGULIZE KIPI?..........!nauliza nipate poza moyo wangu wenye dukuduku na shauku nyingi!
 
Msije kusikia hata JK si mtanzania ni Mzambia au mngazija kwa asili. Binadamu tunaishi kwa kuhama hama. Mbona nchi km USA Schwazenerger ni Governor.

Hata wewe tukifuatilia kwa makini tunaweza kukuta si mtanzania. Hawakujua kuwa si raia tangu walipompa ukurugenzi NSSF?
 
Tanzania eh, Tanzania eh, nchi yangu eeeeh ninakupenda!!! Tanzania eh, Tanzania eh!!! Rindima ndugu!! Tanzania ni peponi, kila binadamu anakaribishwa pale ambapo tu, tunaona una maslahi kwa chama au ni swahiba!!! Unajua katika nchi, Waziri wa fedha si mchezo, na mara nyingi huwa kiongozi aliyeko madarakani anahakikisha anaweka mtu wake mwenye sifa. Hali kadhalika sehemu zile nyingine nyeti kama UWT, Mambo ya Ndani, etc. Hebu dondosheni scan ya makaratasi yake hapa.
 
Tukianza kutafuta uraia wa kila kiongozi wapo wengi tu itabidi waachia ngazi,hivyo ndivyo nchi yetu ilivyo,tatizo letu kila kitu tunakifanya kama vile tunaigiza hata pale ambapo matokeo ya jambo lenyewe ni madhara makubwa.
Sawa kabisa, kama Pwagu na Pwaguzi vile!!!
 
Kuna takriban top Government Officials...i mean TOP na baadhi wanaongoza mashirika ya Umma ambao si waTanzania...kwa maana wazazi wao hawakuzaliwa Tanzania, wenyewe hawakuzaliwa Tanzania, na ukitazama records zao kule RITA utaona hakuna sehemu walioukana uraia wao wa nje na of course wapo Serikalini wanawa KEMEA KWA KEJELI,KIBRI na DHARAU wa Tanzania ambao ni wazawa

Sasa Mkulo ana degree feki na bado kawa waziri wa Fedha hilo linatueleza nini? Na sishauri muumulize Salva kwani itakuwa kesi ya Nyani kumpelekea Ngedele

Kuhusu Usalama:

Wao si kazi yao kukamata,kushtaki au kufikishana polisi. Kazi hizo zina wenyewe ambao wametengewa bajeti zao kwa kodi tunazokatwa sisi wananchi wa kawaida

Mimi ninalaumu sana media owners ambao wana vested interest hivyo hakuna investigative journalism kama nchi za jirani. Hivi mnategemea IPP MEDIA wanaweza kuinvestiate hii issue ya Mkulo na kuianika? Sidhani mtu kama Megi au Freeman wanaubavu huo. Matokeo yake watu wanakimbilia humu JF kumwaga upupu kisha kuondoka zao.

Ukweli ndio huo
 
WADAU HIYO NI CV YA MHE. MKULLO alias Mkulo au
.
Name: Mustafa Mkulo
544.png

Surname: Mkulo First Names: Mustafa Hadi Alternate Name: Mustafa Mkullo
Country of Birth Tanzania
Positions From 2008 Ministry of Finance & Planning Minister of Finance
2006 - 2008 Ministry of Finance & Planning Deputy Minister of Finance - Policy
2005 Kilosa Constituency Member of Parliament for Kilosa
2004-2005 Postgraduate Student - MBA - Almeda University
1987-2000 National Social Security Fund Director General
1985-1987 National Development Corporation Director of Operations
1982-1985 Ministry of Finance - Treasury Registrar's DepartmentTreasury Registrar
1980-1982 National Development Corporation Director - Planning & Finance
1978-1980 National Development Corporation Financial Controller
1975-1977 University of London ACCA Qualification - South West College
1973-1977 Tanganyika African National Union (TANU) Now - CCM Member of TANU/CCM
1973-1977 National Development CorporationVarious Junior Positions within NDC
Date of Birth 26 Sep 1946 Political AffiliationCCM

Mhe anajulikana pia kwa majina ya M. Mustafa Haidi Makunganya Mkulo
 
Anaitwa DR. MUSTAPHA MAKUNGANYA MKULLO...hivi si tuna kitu inaitwa Makunganya Street? any connection? :confused2:

Nadhani Makunganya Street ilitokana na yule CHIEF wa MSOWELO (CHIEF MAKUNGANYA) aliyesaini mkataba na wajerumani pasipo kujua mkataba una nini ndani yake.
Kumbe alikuwa amekabidhi aridhi na watu wake watawaliwe na mjerumani. Walipo anza utekelezaji ndipo akaja juu. Lakini hii haimwondolei shaka MKULO. Nilikuwa najaribu kumwelekeza mdau aliyetaka kujua Makunganya street.
 
WADAU HIYO NI CV YA MHE. MKULLO alias Mkulo au
.
Name: Mustafa Mkulo
544.png

Surname: Mkulo First Names: Mustafa Hadi Alternate Name: Mustafa Mkullo
Country of Birth Tanzania
Positions From 2008 Ministry of Finance & Planning Minister of Finance
2006 - 2008 Ministry of Finance & Planning Deputy Minister of Finance - Policy
2005 Kilosa Constituency Member of Parliament for Kilosa
2004-2005 Postgraduate Student - MBA - Almeda University
1987-2000 National Social Security Fund Director General
1985-1987 National Development Corporation Director of Operations
1982-1985 Ministry of Finance - Treasury Registrar's DepartmentTreasury Registrar
1980-1982 National Development Corporation Director - Planning & Finance
1978-1980 National Development Corporation Financial Controller
1975-1977 University of London ACCA Qualification - South West College
1973-1977 Tanganyika African National Union (TANU) Now - CCM Member of TANU/CCM
1973-1977 National Development CorporationVarious Junior Positions within NDC
Date of Birth 26 Sep 1946 Political AffiliationCCM

Mhe anajulikana pia kwa majina ya M. Mustafa Haidi Makunganya Mkulo

1. NENDENI RITA KAMA MTAKUTA CHETI CHAKE CHA KUZALIWA TANZANIA...huyu alizaliwa MALAWI na baba yake alikuwa MIGRANT LABOUR alyetokea MALAWI kwenda kwenye mashamba ya mikonge KILOSA iweje aongope kazaliwa MALAWI?

2. HIKO CHUO ALICHOKISOMA NDKO ALIKOPATA DEGREE FEKI...I MEAN HIKI NDICHO CHUO KINACHOTOA DEGREES MPAKA KWA MBWA!

3. ANADAI ALIKUWA MKURUGENZI WA NSSF lakini ukweli alikuwa kurugenzi wa NPF (i might be wrong)
 
hi ndo tz mambo tambarare..!Maskin mbona hapa kwetu 2.mara jenerali uli leo mkuu lo baadaye baIshe IRIMRADI TAMBARARE.
 
1. NENDENI RITA KAMA MTAKUTA CHETI CHAKE CHA KUZALIWA TANZANIA...huyu alizaliwa MALAWI na baba yake alikuwa MIGRANT LABOUR alyetokea MALAWI kwenda kwenye mashamba ya mikonge KILOSA iweje aongope kazaliwa MALAWI?

2. HIKO CHUO ALICHOKISOMA NDKO ALIKOPATA DEGREE FEKI...I MEAN HIKI NDICHO CHUO KINACHOTOA DEGREES MPAKA KWA MBWA!

3. ANADAI ALIKUWA MKURUGENZI WA NSSF lakini ukweli alikuwa kurugenzi wa NPF (i might be wrong)
Mkulo alisoma Degree yake

Almeda University

From Wikipedia, the free encyclopedia

Almeda University (possibly also called Almeda College or Almeda College & University) is an unaccreditedAmerican institution that offers various academic degrees through distance education, including a "Life Experience Degree". Almeda was founded in 1997. Bears' Guide says that they could not locate the physical address of the institution and were told by reception that Almeda University is a "Web only" institution.

Elimu ya Msingi: Kumbukumbu zinaonyesha

Rudewa Primary School-1956-1960
Zombo Midle School-Primary 1961-1964
Mwaka 1965 alikwenda Pugu.

KWA VILE ALIKUWA ANAISHI TANGANYIKA WAKATI WA UHURU NA PIA ALIKUWA NCHINI WAKATI TANZANIA INAZALIWA MWAKA 1964. JE, SHERIA YA URAIA WA TANZANIA INASEMAJE KUHUSU URAIA WAKE?
 
Ni raia halali wa Tanzania kwa details ulizoto leopold ila kwenye taaluma ndo wasiwasi na hicho chuo
 
Nashangaa leo watu wanashangaa kuwa MKULO si raia wa TANZANIA lakini tunashangaa nini wakati huyu hata hata chembe ya credibility. Nadhani huyu ndiye waziri wa fedha pekee duniani aliyesoma CHUO FEKI na kupata DEGREE FEKI (btw Chuo hicho kinatoa Degrees mpaka kwa MBWA) na leo hii ndiye anakaa kwenye wizara nyet ya Tanzania. Ukimkuta pale Wizarani anavyo wadharau na kuwaendesha puta Wa Tanzania ndio utakubali kuwa hapa tulipo tuko pabaya.

Sasa kama mnataka kujua ukweli then:

1. Nendeni Kilosa mkatafute ukoo wake kama mtaupata

2. Muulizeni alete cheti chake cha kuzaliwa

3. Muulizeni baba yake alitokea wapi kabla hajahamia kilosa

4. Muulizeni baba yake alikuwa anafanya nini kabla ya kuhamia Kilosa

5. Muulizeni baba yake alizaliwa wapi?

6. Kama mlivyomuuliza kuhusu Baba yake, si vibaya mkamuuliza kuhusu Mama yake

7. Muulizeni kwa nini wale Mabosi INCLUDING wale senior Govt officials ambao ni wa MALAWI wenzie kwa nini hawataki kumtetea kipindi hiki ambacho yuko kwenye majaribu wakati wanajulikana kwa kuwa OUTSPOKEN?

7. Msiwalaumu USALAMA kwani file lipo na alishafanyiwa vetting ila si kazi yao kutoa kazi au kukamata kamata.
mimi nilijua umekuja na majibu... sasa wewe unaleta maswali!!!!

Muulizeni... muulizeni, kama wote tukiuliza atamaliza kujibu??? Title yako na hoja yaho haviendani, ulitaka majibu au ulikuja na majibu???

next time kuwa specific, au toa japo lead kidogo ya kupata hizo taarifa, si rahisi kila mtu kwenda kilosa yooote kupata haya majibu:mad2:
 
Back
Top Bottom