Hatimaye wazee wadai Mustapha Mkullo si mtanzania

Tz tumezoe mumesahau akina Mungai
Ila kwa sasa Mkulo ndo aende Malawi iyo 20 aug kwenye convoy inayoenda kudiscuss mambo ya lake Nyasa
 
Sasa habari hii ni kama kutuletea udini, ukabila na ubaguzi wa rangi vile. Ni kweli, tunahitaji kuendesha sana mafundisho ya elimu ya uraia kwa wananchi wetu. Ama, kama siyo hivyo, basi humo humo ndani ya thithiem kuna mtu aliyekwenda kuwaambia hao wazee waseme hayo maneno, si unajua tena maisha ya fitina yalivyo?
ubaguzi=utamu wa nyama ya mtu.Kumbuka mlivyomshughulikia salim Ahmed Salim ili kumpitisha dhaifu anayetutafuna hadi sasa!!
 
Raia halisi wa Tanzania ni akina Willie, Wagogo.
Wengine wote watu wa kuja.
Wachagga Kenya
Wanyakyusa Malawi,
Wahaya Uganda,
Waha Burundi,
Wanyantuzu akina Chenge Warundi wale
Wafipa Zambia na Kongo,
Wamburu na Warangi Ethiopia,
Wazanzibar Oman
Wangoni Msumbiji na South Afrika,
Wahehe South Afrika

Who is a Tanzanian citizen?
Napenda hii.Ni mtu mwenyenye akili ndogo ndiye anayeweza ku-point a finger at another and say huyu sio mtanzania.Mbona wote hapa tulikuja?
Napenda
 
Back
Top Bottom