Hatimaye udsm kufutwa

Naipenda sn udsm na naiheshim sana japo csomi udsm. Na nawakubali wote waliosoma udsm. Nakushangaa unavyoiponda udsm bla kutoa facts. 2pe logic arguement inayokufanya usema udsm imeshuka na saut imepanda. Pole sn nahc bado ujitambui by the way saut bado mnatambaa wakat udsm wanakimbia.
 
nasema hivi saut tuna gpa kubwa udsm gpa mbuzi sauti tuna heshima udsm wahuni
saut tuna toa law kwa mwa 400 udsm 100 hahahahah na bun sipewi mod mme wangu
 
nasema hivi saut tuna gpa kubwa udsm gpa mbuzi sauti tuna heshima udsm wahuni
saut tuna toa law kwa mwa 400 udsm 100 hahahahah na bun sipewi mod mme wangu
hahaha multiple id's at work,acha kulinganisha simba na mbwa koko
 
Wanataka futa halafu wabakize vyuo vya kata? Mbona ndo 2tashuhudia vpji vipya zaidi kwny bongo flava?

hahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa! ngoja nkaoge nilale mie, yaani watu mkichoka mnaanza kutupumzikia wenzenu kwa kujitambia vyuo vikuu, mweeeeeee! Ila huyo wa SAUT naye kujiweka kifrontifronti kwa kweli ni heri ungekaa kimya, maana sijui base yako ya kujipima ni kwa watu gani wanaofanya makubwa ndani ya nchii hii.

Nadhani kama ni issue ya kujitambia vyuo, nadhani ni vyuo vikuu viwili tu hapa..............UDSM na SUA tu, wengine nyie ni heri mkae kimya tu, maana hakuna hata mtu mmoja wa maana aliyefanya jambo lolote kutoka vyuo hivi ambaye graduates wake wanaweza kujivunia................kumbukeni vilaza, mafisadi na wenyeakili wote wanaoongoza nchi hii ni uzao wa kama sio SUA basi ni UDSM. Sasa hao wa SAUT, sijui UDOM, mweeeeeeeeeeee! mbona vitukoooooooooo!
 
uko sawia mkuu, sema wewe umesikia very late hiyo issue mie niliisikia miaka miwili ilopita toka kwa prof mmoja pale. Sababu kuu ni kwamba tayari vyuo vingi vimeanzishwa na vinatoa wanafunzi wa kutosha. Wao wanadhani basi ni vyema wakaenda next level ya kutoa wataalamu ili ku-feed the growing demands of lectrers inayotokana na utitiri wa vyuo vinavyoanzishwa
 
nasema hivi saut tuna gpa kubwa udsm gpa mbuzi sauti tuna heshima udsm wahuni
saut tuna toa law kwa mwa 400 udsm 100 hahahahah na bun sipewi mod mme wangu
haihitaji kufikiri kujua wewe ni kilaza na huna hoja ya msingi zaidi ya udaku!
 
nasema hivi saut tuna gpa kubwa udsm gpa mbuzi sauti tuna heshima udsm wahuni
saut tuna toa law kwa mwa 400 udsm 100 hahahahah na bun sipewi mod mme wangu

hao 400 wana uwezo au wamekaririshwa tu? KWELI LEO NIMEAMINI ST NI VILAZAT KUPINDUKIA, au na huko SAUT napo una mme? Maana unatetea tu bila facts.
 
kwa habari nlizonazo za uhakika toka viongozi wa juu chuo kikuu mliman kina mpango wa kufuta undergraduate degree zote na kubakisha masters phd na kuendelea hii inalenga kutengeneza lectures na hazina ya taifa
pia kutokana na chuo hicho kuachwa nyuma katika mambo mengi ya kimataifa ikiwa pamoja na wanafunzi kutokushiri mashindano yoyote ya vyou, chuo hicho kimekosa mvuto.
my take .. st agustine kinakimbiza sana ni chuo kizuri kutake over udsm

If I was asked to give my advice, I would suggest that UDSM be "Degree awarding university" and the rest of Universities to be training offering BUT exams to be double checked by UDSM.
If this approach is to be implemented graduates from UDOM and St. Augustino will not differ in the level of understanding
 
uliendika hii post, sidhani kama we ni University student,.hii level ya thinking ni ya primary school, kama ni university student tena wa udsm,unawaibisha sana wenzako.
 
kwa habari nlizonazo za uhakika toka viongozi wa juu chuo kikuu mliman kina mpango wa kufuta undergraduate degree zote na kubakisha masters phd na kuendelea hii inalenga kutengeneza lectures na hazina ya taifa
pia kutokana na chuo hicho kuachwa nyuma katika mambo mengi ya kimataifa ikiwa pamoja na wanafunzi kutokushiri mashindano yoyote ya vyou, chuo hicho kimekosa mvuto.
my take .. st agustine kinakimbiza sana ni chuo kizuri kutake over udsm
Khaaaaa usiabishe SAUT bwana... kwamba uelewa wako umeishia kufananisha kufutwa kwa Undergraduate na kufutwa kwa UDSM? Bado tuna safari ndefu sana.
 
nasema hivi saut tuna gpa kubwa udsm gpa mbuzi sauti tuna heshima udsm wahuni
saut tuna toa law kwa mwa 400 udsm 100 hahahahah na bun sipewi mod mme wangu
Sitaki kuamini kwamba akili hii inatokana na kusoma kwako SAUT.... Nadhani ni matatizo yako binafsi
 
Zipo course za UDSM kama za Engineering, FIVE, FPA, Law, Political Science, Economics, Physical Education e.t.c ambazo zitachelewa au kuondoa kabisa uwezekano wa kutekelezwa kwa mpango huo.
 
uliendika hii post, sidhani kama we ni University student,.hii level ya thinking ni ya primary school, kama ni university student tena wa udsm,unawaibisha sana wenzako.

wa udsm? Hatuna watu wa aina hiyo. Labda wa UDOM huyo.
 
Mleta uzi unasoma SAUT nini? Haya bwana,ila hayo mabadiliko kama ni kweli kama kukurupuka..kwanini wasianzishe chuo kingine kwa ajili ya hayo mambo yao.
 
Back
Top Bottom